Tusifike Kwenye Siasa za " Jino kwa Jino" hata Vitabu Vitakatifu vinakataza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
97,869
171,715
Kauli za Msiogope Mabomu au Tutakwenda nao Kiulalo Ulalo ni kama vile zinaashiria Shari na huo siyo Utamaduni wetu

Tufanye Siasa za kistaarabu zilizosheni Upendo kwa sababu Siasa Siyo Uadui

Ahsanteni Sana 😃
 
CCM ndio mwasisi wa siasa majitaka

Toka mwaka 2000 mkapa alipouwa watu Zanzibar ndio CCM haijawai tena kufanya chaguzi kwa matakwa ya sheria na katiba
 
Kauli za Msiogope Mabomu au Tutakwenda nao Kiulalo Ulalo ni kama vile zinaashiria Shari na huo siyo Utamaduni wetu

Tufanye Siasa za kistaarabu zilizosheni Upendo kwa sababu Siasa Siyo Uadui

Ahsanteni Sana 😃

So zibaki za jino kwa pengo sio? Jino libaki upande mmoja mkuu? Ung'atwe na kusema hewala tu??
 
Kauli za Msiogope Mabomu au Tutakwenda nao Kiulalo Ulalo ni kama vile zinaashiria Shari na huo siyo Utamaduni wetu

Tufanye Siasa za kistaarabu zilizosheni Upendo kwa sababu Siasa Siyo Uadui

Ahsanteni Sana 😃
Jino kwa jino, jicho kwa jicho, chubuko kwa kwa chubuko ndiyo mpango mzima.
 
Kauli za Msiogope Mabomu au Tutakwenda nao Kiulalo Ulalo ni kama vile zinaashiria Shari na huo siyo Utamaduni wetu

Tufanye Siasa za kistaarabu zilizosheni Upendo kwa sababu Siasa Siyo Uadui

Ahsanteni Sana 😃
Siasa siyo kuburuzwa tu na watawala kwa ajili ya kulinda matumbo yao na familia zao.
 
Kauli za Msiogope Mabomu au Tutakwenda nao Kiulalo Ulalo ni kama vile zinaashiria Shari na huo siyo Utamaduni wetu

Tufanye Siasa za kistaarabu zilizosheni Upendo kwa sababu Siasa Siyo Uadui

Ahsanteni Sana.
Ukiweka unafiki au uchawa pembeni, utakubaliana na Ukweli mchungu sana kwamba kwa namna jinsi CCM wanavyofanya Siasa zao kwenye nchi hii, ni dhahiri kwamba njia pekee kabisa ambayo Watu wengine wanapaswa kuifuata ni kufanya Siasa za Jino kwa jino, jicho kwa jicho au jeraha kwa jeraha. Hii ndiyo namna pekee kabisa iliyobaki ya kuweza kufanya siasa na CCM, kwa sababu siyo siri hata kidogo CCM hawwawezi kabisa kufanya Siasa za kistaarabu na zenye kuheshimiana, siasa za kushindana kwa nguvu ya hoja.

Miaka yote kabisa, nimekuwa nikiona CCM ikilazimisha Watanzania kuchukua jukumu la kufanya Siasa za Jino kwa jino, siasa za mikikimikiki, siasa za bunduki (gun politics) kama vile ilivyokuwa kwa Watu wa ANC walivyokuwa wakifanya siasa zao kule nchiji Afrika ya Kusini enzi zile za Utawala wa Makaburu. Watu weusi wa Afrika Kusini pamoja na Wafuasi na ANC nao walilazimika kufuata mkondo wa kufanya 'Siasa za bunduki' ili kujihami na kujilinda dhidi ya udhalimu ambao walikuwa wakifanyiwa na utawala wa makaburu wachache ambao nao pia walikuwa wakifanya Siasa za bunduki. Watu weusi katika nchi hiyo nao walilazimika kushika bunduki ili kujibu Mapigo ya Jino kwa jino, jicho kwa jicho, jeraha kwa jeraha, kifo kwa kifo, hali hiyo ilisababisha kuharakisha kufikia Maridhiano Kati ya pande hizo zilizokuwa zikigombana.
 
Kauli za Msiogope Mabomu au Tutakwenda nao Kiulalo Ulalo ni kama vile zinaashiria Shari na huo siyo Utamaduni wetu

Tufanye Siasa za kistaarabu zilizosheni Upendo kwa sababu Siasa Siyo Uadui

Ahsanteni Sana 😃
Unapokea fomu za watu . Unakaanazo ofisini. Unawaita vijana makada wa ccm. Wanazibadilisha kuandika kimakosa unagonga mihuri utakavyo wewe. Halafu unaweka mapingamizi. Vinakuja vibarashuti, vinajibinua viuno na kusema gentleman siasa ni kujipanga!
Unaweka mapingamizi yanaenda kwa Das wa ccm wapinzani wanakatwa. Kisha unashangilia
SIASA ZA KISTAARABU ZIKO WAPI HAPO
Tupunguze ujinga, nchi ya kwetu wote hii
 
Mfumo wetu bado ni wa chama kimoja na ndicho Chenies dola. Kinapoona kinataka kuzidiwa hutumia dola. Dawa ni Katiba mpya itakayowezabkuweka mgawanyo wa Mamlaka. Sasa hivi huwezi kutenganisha Wakurugenzi ambao ndio wasimamizi wa uchaguzi na CCM.
 
Back
Top Bottom