Zinabei gani?Mkuu Water Pump nzuri ni za Honda tu basi. Tena kama unataka kutoka fasta na shamba lipo kwa ajiri ya bustani(2-10acres)basi water pumb ya Honda "2-3 ndio mpango mzima babake. Nyingine michosho tu.
Mkuu zinaanzia laki8.Zinabei gani?
Mimi nashauri kutumia DC au AC water pump. Ukipata pump atlist
Mkuu Water Pump nzuri ni za Honda tu basi. Tena kama unataka kutoka fasta na shamba lipo kwa ajiri ya bustani(2-10acres)basi water pumb ya Honda "2-3 ndio mpango mzima babake. Nyingine michosho tu.
Mimi ni mdau wa kilimo, naomba mwenye uelewa na kama picha ipo tupia hapa, lengo la kuanzisha maada ni kurahisisha kupatikana kwa taarifa muhimu kuhusu water pump hivyo inaweza kuhamasisha vijana tukatumia fursa ipasavyo na kwa wakati . Nimesikia kuwa zile mashine za kusaga zinazo tumia dizel huwa zinauwezo wa kuvuta maji, mwenye uelewa na picha tupia hapa, pia kwa shamba la hecta moja aina gani ya pump inafaa.
Mkuu kwanza niambie maji yapo umbali gani kutoka chini?Sasa mkuu hebu tupe details, kwa mfano mimi nahitaji pampu kwa ajili ya kumwagilia ekari tatu hadi nne. Na maki nitayavuta kutoka chini (kisima) hebu dadavua nahitaji pampu yenye specification gani ili kazi yangu iwe rahisi.
Mkuu Water Pump nzuri ni za Honda tu basi. Tena kama unataka kutoka fasta na shamba lipo kwa ajiri ya bustani(2-10acres)basi water pumb ya Honda "2-3 ndio mpango mzima babake. Nyingine michosho tu.
9Nauliza je water pump zinazopatikana ulaya hazifai?
Kama hizo