Tusaidiane waungwana (iPhone vs android phones)

Lee

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
43,960
150,441
Naomba msaada wapendwa,, natanguliza salam,, ni kweli siwezi kuamisha baadhi ya vitu mfano music au picture kutoka simu ya android mfano tecno bum j 7 kwenda iphone yeyote??,tusaidiane
 
Iphone ni Milion 1 na nusu!


Tukua hiyo laki tano andaa banda la kuku

Hiyo milion 1 itumie kununua vifarang!


Hiyo hela milion 1.5 ukiiwekeza kwenye mradi wa ufugaji wa kuku ndani ya mwezi 1 tu utaingiza faida na utakuwa na hela ya kununua iphone os na adroid!
 
Reactions: Lee
Najua mkuu,, ila sijamanisha ivoo,,soma uelewe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…