Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 790
- 1,924
Mbinu imejulikana so imekuwa ngumu.
Inatafakatisha sana kukosa 3.8kMkuu wewe hujashinda halafu unasifia ,nilidhani umepiga hela kumbe mwenyewe unaomba
Kukosa inawezekana ila sasa alivyochambua ni kama inalipa sana kumbe mhindi anamrudisha tena akachukue mfukoniInatafakatisha sana kukosa 3.8k
Mkuu nishaliwa Sana keno Na virtual ya betpawa Na throne bettingVirtual ndiyo rahisi mkuu tatizo ni mtaji tu.
Ok...vipi sasa mechi mbili za kwanza kuwa gg? Frequency yake ikoje?Wakuu habari za muda huu, hopeful mko salama na corona itupitie mbali.
Moja kwa moja niende kwenye mada. Kutoka na na changamoto za ajira wengi tumejikuta tukicheza betting ili kupata angalau kitu kidogo cha kusogeza siku tukiendelea kutafuta kazi au njia rasmi ya kujiingizia kipato.
Achana na league za kawaida yaani reality ambazo zinachukua muda hadi nusu mwaka kumalizika tena ni ngumu mmno kubashiri, twende kwenye virtual sport.
Kwa mtu uliye wahi ku-bet utakuwa umesikia virtual bet, hii option ipo kwenye makampuni yote ya betting. Kunakua na league 3 kila league ina timu 20, mfano italy kunakuwa na team 20 england team 20 ufaransa team 20, ambazo zitacheza mara 38 kwa msimu mmoja.
Hivyo basi kila baada ya dk 5 kila league ya kila nchi inakuwa ina match 10 Zinacheza kila baada ya dk5. So msimu mmoja kwa kila league unakamilika kila baada ya masaa mawili na nusu.
Sasa nimefanya utafiti wa kina kuhusu virtual sport zote kwa kina. Nilichogundua ni kwamba kwenye kila league inatokea mara moja au mbili timu zote zina fungana au nusu ya match zote kumi zilizofwatana hazifungi au zinafungana.
Unachotakiwa kufanya ni kuchagua league moja tu mfano Italy au Spain alafu unaweka zote both teams to score kuanzia day1 hadi day38, yaani kila baada ya dk tano unacheza both teams to score using miss match ata moja. Utapata odds kati ya 80 hadi 120 kwa kila ticket.
Njia ingine ni kuchagua match tano za mwanzo au za mwisho na kuweka both teams to score na hii ndiyo inatick hadi mara sita kwa mzunguko mmoja yaani msimu moja wa masaa mawili na nusu, odds zake zinakuwa ni 18 hadi 30.
Unachotakiwa kufanya nikuwa na mtaji angalau 3,800 una stake 100 au 38,000 alafu una stake 1000 kwa kila ticket hadi league inaisha.
Kitu cha muhimu ni uwe na muda angalau masaa matano ili kuhakikisha una maliza league na kingine usiwe na tamaa ya ku stake ela kubwa.
Nimeshindwa ku attached picture ya match zilizo pita kwa kuwa natumia freebasics.
Kwa atakeye guswa kunichangia mtaji wa 3,800 naomba msaada plz, nitarudisha mara tano, tusaidiane professional bettors na wakamaria wote na jobless wote changia ata 1000 tu,ili tuendeleze tafiti za kumkamua kanjibay. Plz usiache kunichangia mtaji No. 0763574651
NB virtual game ipo masaa 24,so tafuta muda wowote utapokuwa upo free utumie atleast umalize misimu miwili which is five hours.
Ok kwa hiyo kwa spain na italy ndio mbili za kwanza zinatoa sana?Kwa Spain na Italy match mbili za kwanza zina tick sana ila kwa England mara nyingi zinakuwa ni Arsenal na Ast kwahiyo zinatoa NG.
Nimefanya tafiti mbali mbali tofauti tofauti ila hii ndiyo ya uhakika angalia season inayoendelea muda huu 1957 inavyo toa btts timu tano za mwanzo. Kuhusu takwim zaidi njoo pm.
Unasubiri jibu la nini mkuu?.Nasubiria hapa jibu la uhakka
Hujaelewa iyo system.View attachment 1692548
Mkuu hii hapa season ya 1956 game ya 38 kama vile sio zote ni GG au kuna kitu sijaelewa
.
naomba nieleweshwe...Hujaelewa iyo system.