Tupige story

Calfornia

Member
Oct 26, 2019
49
131
Hii ni story tu kama story zingine, ila unaweza isoma. Tunapata uzoefu wa maisha kupitia watu na story zao.

Yote ya hapa ni story tu. Ila si mbaya ukasoma. Ina sehemu tatu, sehemu ya pili ndio mzizi wa story hii. Ila tuanzie kwenye kutano.

KUTANO

Miaka michache kabla ya utawala wa jk kuisha. Sikumbuki tarehe wala mwezi, lakini ilikua siku ya ijumaa, kwani nilikutana na waumini wa dini ya kiislam wakitoka msikitini, baada ya kutoka kuonana na jamaa yangu mmoja, nikiwa natembea niliamua kwenda kupotezea muda bar kabla ya kupanda daladala na kurudi nyumbani. Sikupanga kunywa pombe siku hiyo au kwenda bar, sababu Mfukoni nilikua nina sh ef kumi tu, lakini eneo nililokuwepo, nilisikia muziki uliopigwa kutoka kwenye bar jirani ukanivuta. Ilikua playlist ya nyimbo kali sana za reggae.

Muziki niupendao sana. Ilionekana ni nonstop mixing. Nikaamua acha nijisogeze nipate kinywaji huku nakula reggae zile. Playlist ikikata nisepe home. Kichwani nikajiwekea hesabu ya kutumia sh elfu 5 tu pale bar. Then ef 2 nitanunua vocha nimtumie dogo alikua ameniomba, buku nauli, ef 2 italinda mfuko. Kitu ambacho sikujua, siku hiyo ningekutana na mwanamke ambaye angekuja kuwa 'mpenzi' kwa takribani miezi kadhaa na angenipa ushuhuda juu ya fedha na ushirikina.

Nilipofika pale Reggae bar, kabla ya kuagiza chochote, nikauliza kama wana vocha, akasema hana. Nikatoka kwenda dukani ili nimtumie kabisa dogo vocha yake yasije yakatokea yakutokea nikashindwa, maana ukiwa kaka hupaswi kufail kwa mdogo wako hasa wa kike. Na nikaenda mwenyewe sikutaka tuma muhudumu, maana hawakawii kuleta story na ndio hela pekee niliyokuwa nayo.

Nilipochukua vocha na kurudi pale bar, nikachagua meza ya mwisho iliyojificha, sikutaka chanyanyikeni sababu siku hiyo nilikua 'mbwa
asiyewinda', sikua na hela. Basi meza niliyokaa pembeni nilimkuta muhudumu mmoja amejilaza ameegemea meza. Beer kuagiza nikajua ef 5 sana ni 2 tu. Kubusu bia huwa siwezi, nikaamua nipige makali tu.

Nilimuamsha nikamwambia aniletee Valuer ndogo na Coca ya baridi. Nilipiga hesabu, kutokana hadhi ya ile bar havidi ef 5 vyote.
Aliponiletea akanipa nikaanza kunywa mdogomdogo. Yule muhudumu, akarudi kwenye pozi lile la kulala, nikawaza huyu muhudumu itakua kachoka sana, au jana yake alikuwa vyombo sana, nikawaza pia au ana mimba.

Niliendelea kuunguza maini na Valuer ile, kama nusu saa hivi akaja maza mmoja mezani kwangu anauza karanga. Mimi nina udhaifu mmoja, huwa nina wahurumia sana hawa kina mama au mabinti na watoto wanaopigwa na jua kwa kutembeza biashara. Huwa najikuta nanunua anachouza hata kama nitakigawa, ili kumchangia tu na kumpunguzia mzunguko juani. Kwakua nilikua nakunywa pombe kali, sikuweza kula karanga. Nikamwambia yule mama muulize huyo dada aliyelala kama anakula. Yule muhudumu kuulizwa akasema hana hela. Nikamwambia yule mama mpatie za sh ef 1 hela hii hapa.

Yule muhudumu akasema ngoja nifuate chombo kaunta. Aliposimama ndio nilipomuona vizuri. Alikuwa mwanamke mwenye zile sifa zinazonikosha. Alikua kimo cha wastani, mwembamba kiasi, kitako cha kimtindo, kiuno kilichoingia ndani, kilo nikimkadiria hazizidi 60. Binafsi napenda sana kummbeba mwanamke. Hata wakati wa 'mambo ya 18+, napenda kubeba huku nimekumbatia. Rangi yake ilikua mweupe, white. Kwa kweli white alinibamba, nikawaza nichape.

White alirudi, akawekewa karanga kwenye chombo, nikampa buku yake yule mama akasepa. White akahamia mezani kwangu, akaniambia karibu karanga. Basi nikawa nakula mdogo mdogo, akamuita muhudumu mwenzake huwa amletee Grand malta kwenye fridge. Nikawaza mbona kama anataka nivurugia hesabu na mood yangu. Maana hapo nina ef 7 tu mfukoni. Basi ililetwa akafungua na kuanza kunywa. Nikaanza mdadisi, mbona umelala time yote unaumwa? Akasema uchovu sababu wanafunga saa 8 halafu analala hapo kazini hawezi enda kwake time hiyo ni mbali. Basi tukaendelea kupiga vistory vya hapa na pale, nikamjua jina lake na
anapoishi. Akaniambia inaonekana wewe ni mstaarabu sana, maana wanaume wanaokuja baa hapa wananunuliaga wahudumu pombe tu ili waondoke nao.

Nikacheka, nikamjibu huwezi jua labda na mimi nilitamani ila tu sina hela. Akacheka na kujibu pombe sinywi nakunywa tu hii malta alininunulia manager jana. Moyoni nikasema, manager ubarikiwe.

Tukaendelea na vistory tu visivyo na maana. Akaniuliza jina langu nikamwambia. Akaonyesha kustuka, nikamuuliza vipi mbona kama umestuka jina langu la ajabu nini? Akasema hapana. Basi sikutaka mdadisi zaidi. Akanyanyuka na kwenda kaunta, kwa kweli kile kiuno kilinifanya nimjengee picha nimemuinamisha na huku nimekikamata kama namzuia asinitoroke. Nilishikwa na uchu wa ajab. Stim zilikata ghafla nilipokumbuka nina ef 7 tu mfukoni. Alirudi kukaa, kikapita kiukimya fulani.

Nilimchunguza kwa umakini Sana usoni, nikaona anasura inayoonyesha ni chapombe sana. Walibadili muziki nikaona hapafai tena kuendelea kukaa pale. Ukizingatia niko mbwa koko siku hiyo, nikamalizia pombe fasta. Kuuliza bill akaniambia buku 4, nikampa ef 5 akaanza saka chenji kwenye pochi yake. Wakati anatafuta, nikamwambia natamani tuwasiliane zaidi, naweza pata namba yako? Akasema haina shida, ila pale hana sim kaiacha kwake huwa hatembei nayo sbb ni kubwa sana. Akasema niandikie hapa kwenye karatasi nitakutafuta. Nikajua hapa nimepigwa chenga. Sikutegemea kupigiwa.

Nikawaza hiyo simu kubwa kivipi hadi asiibebe. Nikajua hapa kanitosa kiutu uzima. Basi nikaandika namba, akanipa buku yangu nikasepa. Nimefika home mida ya saa 11 jioni. Sasa hapo home sio kwetu kabisa. Ni kwao na jamaa yangu, Sasa mzee mwenye nyumba yuko mkoa mwingine kikazi. So pale nilikua naishi na mama wa pale(ambaye kwa heshima namuita tu mama) na mwanaye, ambae ni jamaa yangu muda mrefu sana.

Mama nae kwa muda mwingi huwa hakai hapo. So akaomba nihame nilipopanga nihamie pale kwake kwa ajili ya kuangalia nyumba, sbb huyo jamaa yangu mayai mayai sana. Nikamkubalia, nikizingatia kazi nilipokua nafanya mkataba umeisha, sina kazi time hiyo. Sasa hapo nyumbani, nyumba ya nyuma kuna vi apartment viwili kuna wapangaji wawili masela tu. Nimefika nikakuta wanapiga mtungi na kuchoma kaya.

Walevi huwa ni ndugu. Nikaunga. Ila siku hiyo sikuwa na mood ya kuchoma sbb nimekunywa.[kwa mgeni usije piga mtungi halafu ukamoka]. Mida ya saa 4 nikahisi kuzima. Nikawaaga jamaa nikaenda lala.

Nimekuja stuka saa 4 asubuhi nina njaa kinoma. Kucheck simu ina missed calls kibao. Ya mwanamke wangu mmoja aliyekua morogoro na kuna namba moja ngeni imepiga karibu mara 20. Nikawaza au ni pale nilipopeleka maombi ya kazi. Nikasema mimi sio nuclear scientist au daktari bingwa hadi nipigiwe simu kiasi hicho na muajiri. Nikahisi labda mwanamke wangu ndio kapiga namba yake, nikakataa wazo hilo, Maana yeye huwa hapigi simu kishamba hivyo, ni mara mbili usipopokea atatuma msg 'hope you're safe lov. Call me back'. Nikaipigia hiyo namba ngeni, simu haina salio. Nikamtext anipigie. Sekunde kadhaa tu, mithili ya mtu aliyekua akiisubiri simu yangu, akapiga. Nani, mimi fulani. Wa wapi?

Ulinipa namba yako Reggae bar. Nikamtambua ni white. Nikamtaka radhi kwa kutopokea simu zake nilikua nimelala. Nikamuuliza simu umeipata wapi sasa? Akasema yuko kwake amekuja mara moja. Nikamwambia sawa nani niko home. Akauliza umekula? Jibu likawa bado. Vipi nikuandalie nini?

Lile swali au ule mwaliko sikuutegemea. Nikamwambia hapana siku nyingine. Akanijibu 'wewe si ndie uliniomba namba kuwa unataka
tufahamiane'? Nikamwambia ni kweli, ila sio mapema hivi kuja kwako. Akasema mimi pia sijala, na nataka nipike Nile halafu niende kazini, so karibu tule wote na upajue kwangu. Basi nilipokumbuka kale kakiuno na kale ka mwili kake, nilijikuta nimepata hamu naye, nikamjibu sawa ntakuja. Nikupikie nini? Nikamjibu pika chochote kilicho ndani ya uwezo wako ila usijipe gharama. Akaniambia niambie unachotaka. Kwa kweli mimi napenda sana vyakula uya asili na michemsho. Nikamuuliza hapo unapoishi ni karibu na soko. Akasema sio mbali sana. Nikamwambia asa hivi inaelekea saa 5 hadi nikafike huko kwako ni saa 6 na nusu.

Andaa chakula cha mchana. Pika ugali na majani ya maboga ila nikipata na soup yake itakua nzuri. Akasema sawa. Nikampigia mwananke wangu wa Morogoro. Nikaenda oga. Nikampigia jamaa yangu, Zizzle [zizo]. nikampa story ya white. Nikamwambia twende wote kwake. Huyu jamaa kipindi cha usekondari, alikuwa na jeans zinaitwa Zizzle nyingi sana. Basi ndio likawa jina lake.

Nilijua nimealikwa mimi so sio ustaarabu kwenda na mtu lakini kwa sababu za kiusalama ilibidi niende na jamaa yangu. Huyu zizzle, kwao alikuwa ni family friend wa nyumbani kwetu na tuna uhusiano wa ndani sana kifamilia na kipindi hiki nilikua nataka niingie kwenye kampuni yao so alikua anifanyia mpango wa kazi. Basi tukaenda, kweli tulikuta bibie kaanda msosi. Nilipofika nilikuta amevaa tshirt white na kipensi cha jeans. Mate yalinitoka alipokua mbele anatuongoza.

Alipotukaribisha ndani akatuacha sebuleni, akarudi amejifunga kanga. Nikaomba kwanza ile soup ya majani ya maboga. Nikafuta bakuli zima. Kisha tukahamia kwenye ugali na sato. Alikuwa ni sato mkubwa mzima. Tukamshambulia sisi wawili, yeye alikataa kula kuwa anatuachia sisi wanaume tule. Tumepiga ule ugali. Baada ya kumaliza. Akaniambia nimekuandalia kinywaji chako. Akaleta valuer na glass mbili. Shida Zizzle pombe kali hatumiagi. wa bia mbili. Tumekula vinywaji huku tunatazama mpira. Mimi kwa kweli sio mpenzi wa mpira, jamaa yangu yeye ndio mnazi.

Kwa mazingira nilivyoyaona, asingekuwepo zizzle, ningemfumua pale, nadhani alikua amejiandaa. Kama nusu saa, white akatoka, kaenda kuoga akavaa kama mtu anayetaka kutoka. punde akaniita chumbani kwake, kuingia akaniuliza, 'nataka kwenda kazini, nikuache nitakukuta'?

Lilikua swali lenye tafsiri nyingi. Mtego, kufukuzwa, au maamuzi ni yangu. All in all sikuhitaji kuachwa nyumba isiyo yangu na nisiyoijua.
Na haikua ratiba yangu. Nikamwambia hapana tunatoka. Akasema 'shem si anaangalia mpira?'. Nikanotice neno shem. Nikamwambia hapana. Nikamshika mkono na kumbusu usoni, kisha nikamwambia asante kwa chakula na kunikaribisha kwako, nimefurahi kupafahamu'. Sikusubiri jibu, nikatoka chumbani na kumuambia jamaa , oya tuondoke. Akamuambia, 'shem mimi natoka'. Akajibu nisubirini hapo nje nakuja. Basi tulipotoka nje tukakutana na dem mmoja kajazia hasa, zizzle mate yakamtoka. Basi white akatoka pale nje mdogomdogo tukawa tunatembea. Full kusifiwa, umependeza, tshirt yako nzuri, pensi imekukaa vizuri

Kichwani nilikua na mambo mawili yananishangaza, la White kunipitisha kama mwanaume wake bila kumtongoza ndani ya muda mfupi, chini ya masaa 18, kiasi cha kunikaribisha kwake hadi chumbani. Pengine hili halikunishangaza sana zaidi ya la pili. Nyumbani kwa White
kulinishangaza zaidi. Samani zilizokuwepo ndani mwake. kwanza hazikulingana na hadhi ya nyumba anayoishi (kama gari nje ni peugeot 404 ndani ni lamborghini), mtaa anaoishi na pia kazi anayofanya.

Nyumba ilipambwa na samani zenye ubora na gharama ya hali ya juu sana. Sebuleni alikua na pure leather seated sofas, meza na viti vya chakula vyote vinaonekana ni vya 'royal furnishers'. Tv ilikuwa ni Sony bravia 40+, muziki ni Sony HT Watts 1000. Chumbani kwake dressing table na wardrobe vya ubora wa juu sana, na tv sony inch 30+ ya chumbani. Hakua na kitanda, ametandika godoro chini, tanfoam 6*6 inch 8(12). nilijiuliza, kwa mshahara wa bar, huwezi afford matusi yale. Nilihisi kuna mtu anagharamia, au white ni usalama, au kuna cha ziada.

Zizzle alikua na gari yake mark II grande, na ndio tulienda nayo, lakini tuliiacha sehemu ambayo kuna bwalo la polisi. Hatukuona busara kwenda na gari. So alipopanda daladala white tukatembea hadi ilipo gari na kuondoka. Tukaamua twende ki pub kimoja kinaitwa Heineken house. Licha ya kuwa sikua na kazi, ila nilikua na vibalance kidogo na vibiashara uchwara ambavyo hela bia ilikua haikosekani. Basi nikaratibu kama 50, nikawa njema. Pale pub, zizzle akaniuliza, ulisema yule dem anafanya kazi gani? Nikamwambia ni barmaid. Akasema pale kwake palivyo hapaendan na kazi, mchunguze na kua makini. Nikamjibu hilo nami naliwaza. Akaongeza tena, ikiwezekana piga na kusepa, kwani pale umedata na nini hata nyama hamna. Hahaha. Jibu langu ni moja tu, mimi mwananke huwa namtazama kwa jicho la tatu. Natazama vitu ambavyo macho ya kawaida hayatazami. Kwa kweli licha ya kuwa nina mwili wa miraba
minne, pande la mtu, napenda sana viportable.

Tumepiga mtungi hadi mida ya saa 1, white akapiga simu.
Uko wapi?
niko maeneo kama unaenda kwenu kuna pub inaitwa heiken house.
Uko na rafiki yako?
ndio niko nae.
njooni huku kazini.

Nikamjibu hebu ngoja nione. Tukajadili na zizzle, twende au la. Mimi nikamkatalia sababu tushaanza leo, halafu mimi ni shida ya macho usiku sipendi kuendesha, zizzle nae aliliwa ni rough driver. Basi ikabidi nimdanganye white kua tuna gari shida haijalipiwa motor vehicle. Ni kweli ilikuwa imeexpire, lakini usiku hamna jam, sema tu hatukua safi sana mfukoni. Lakini moyoni white nikawa namuona dem mmoja special and not a mere barmaid. Basi akasema ntakuja hapo namsubiri rafiki yangu afunge hesabu tuondoke.

Nikamwambia poa. Mida ya saa 3 hawa hapa. Aliyekuja nae ni kisu hasa pia. Basi tukipiga kikao cha dharura tukaamua twende band. Kuna sehemu maarufu kwa band inaitwa kijijini park. Meza ikawa mtu nne. Tukaagiza mbuzi katoliki kilo 3 [mimi nyama
ni mlafi sana]. Tukaendelea na muziki. Saa 5 tukachomoka kwenda kulala.

Kwa msaada wa taxi driver moja, tukajua lodge ambayo iko karibu na nyumbani kwa white. Zizzle akalala hapo lodge, ili incase of any
problem, atoe msaada. Tumefika ndani kwake. Nikavulishwa nguo. Nikapewa mswaki mpya tukaenda oga. Nikamwambia kaoge tu kwanza. Lengo langu aende, ili niongee na wa moro. Basi akatoka oga, nikaipiga nyundo simu yangu, nami nikaenda oga. Nimerudi, namkuta amesimama kwenye dressing table, anachana nywele huku amevaa bikini tu, vititi viko wazi. Nilihisi nimepigwa ganzi. Nilimfuta pale kwenye kioo, nikasimama kwa nyuma yake na kumyanganya chanio, nikaendelea kumchana nywele zake, napenda mwanke mwenye natural hairs. Nikamvisha kofia ya nywele ya kulalia. Akageuka na kuanza kunyonyana mate, akashuka chini
na kubj.

Muda mchache nikamsimamisha na kumbeba hadi kitandani, nikalalia mgongo nikamkalisha juu, sogeza mkanda bikini pembeni. Kazi
ikaanza. Alikuwa mnato sana. Nilipiga round mbili, ukichanganya na pombe, tukawa hoi. White akalala. Mimi sikuwa na amani, ugenini
Nilila alfajiri.

Mida ya saa 2 nilistuliwa na white ananiamsha chai tayari. Ilikuwa ni soup ya samaki, chapati na mayai ya kuchemsha + chai ya maziwa yenye tea masala. Nikamcheck zizzle hewani hapatikani. Tukapiga tea na white muda kidogo simu nikasikia inaita. Akaifuata na kuongelea mule chumbani. Sikuwa nasikia vizuri wanachoongea, akatoka Neno la mwisho la kumalizia simu ilikua ni 'sawa nitakutumia'. Aliporudi simu aliyokua anatumia nikakuta ni Tablet, sikumbuki ilikua brand gani.

Nikaelewa kwanini haendi nayo kazini. Ni mzigo. Nikataka nimuulize kwanini asiwe na kitochi, nikampotezea. Maana nilijua kuwa leo ndio siku ya mwisho kuwa pale. Lakini nilitaka nitimize mambo mawili, nimle mara ya mwisho nikiwa sijapiga mtungi, maana unamfaidi vizuri mwanamke ukiwa sober kuliko ukiwa Tungi. Na pili nilitaka Nimjue white ana shughuli gani ya ziada. Wakati namalizia chai, yeye alienda kuoga.

Alipotoka nami nikaenda kuoga. Nimetoka na boxer tu. Nikamkuta yuko na kanga tu.

Tuliliamsha. White alikua na kinu tight sana halafu mtelezo sana. Harufu ya papa yake ilikuwa ya asili kabisa. Undiluted papa. Time hii
mambo niliyofanyiwa na kupewa, kwa kweli hadi leo sijawahi sahau ile moment. Tulienda oga na nikapewa tena bafuni. Tulipotoka , akaniaga anaenda dukani kumtumia mtu hela. Nikasema nitumie moment ile kupekua mule ndani. Lengo langu ilikua ilikua nijue mule ndani kama kuna traces zozote za mwanaume mule ndani. Sikuona chochote. Sikuridhika, nikasema nitamuuliza anipe ukweli. Maana nguvu za kumuacha kwa game niliopewa dakika chache zilizopita nikijumlisha na papa yake ilivyo, nilijua fika sina uwezo wa kumpiga chini siku za karibuni.

Pia nilijua white hana jam ndogo ndogo so hawezi nisumbua na mizinga ya kipuuzi. Basi nikatafuta shati langu nivae silioni. Nikapatwa mchecheto. Mara amerudi. Shati langu liko wapi. 'baby jana si lilimwagikiwa pombe, ikabidi nililoweke na nimeshalifua'.

Kwa kweli nilihisi kupandwa na hasira. Ni kweli nakumbuka tshrt ilimwagikiwa pombe, lakini sikumbuki kama tulikubaliana kufua.
Nikamwambia mbona sikumbuki. Akaanza nikumbusha. Nikabidi niwe mpole, sababu hata nikimaindi, nguo ishafuliwa. Sasa nikamuuliza hii nguo Itakauka saa ngapi na hali ya hewa ni mawingu. Akajibu 'baby usijari mimi nipo leo tutashinda wote siendi kazini'. Dah, ilikua ni jaribio jingine maana kushinda ndani ni kazi ngumu sana kwangu. Na pia, pale sio kwangu so sikua comfortable. Basi ikaisha. Nikavaa vest, nikatoka nje ili niongee na wa moro na zizzle. Zizzle nikampigia, anamaindi kuwa kapoteza Muda wake na hela dem yuko period. Baada ya kumcheka nikamwambia, hakuna ulichopoteza umeweka akiba. Next time hutogaramika tena. Nikamueleza yanayojiri akaniambia tu kuwa makini.

Basi tukaagana akaniambia nisisahau kuongea na white kumuomba namba ya ile manzi aliyoiona siku ya kwanza pale kwake. Nikamkubalia.

Nikarudi ndani, wakati naingia chumba jirani, nikakutana na yule manzi Zizzle alikua akimzungumzia yuko kwenye kanga anaenda kuoga. Naam alikuwa ni twiga na amefungasha hasa, ni zigo. Sikumsalimia nikaingia ndani. Nikamkuta anaangalia movie. Tukawa tunapiga vistory vya kupotezea muda. Basi nikamwambia mopao anakusalimu na ana ombi.

Akauliza ombi gani. Nikamwambia kuhusu yule mwanamke anayemtaka, zigo. Akaguna na kucheka. 'Nyie wanaume kweli sijui mmeumbwaje, jana amelala na rafiki yangu. Leo tena anamtaka na huyu'. Nikamwambia nipe contact yake, akasema hana ila atamuomba anipe. Nikamjibu sawa, ila kiutu uzima nikanotice kuwa hayuko interested. Nikakamata, chojoa kanga hakua na kitu ndani, alikuwa amevaa kishanga chenye rangi kama dhahabu ile. Kwa kweli nilipomgeuza kile kicheni na mfereji wa matako ule nilipatwa na mzuka mkali sana. nikamla tena kimoja. Ufundi mmoja alioukua nao ni kukatika. White alikua anajua kuikatikia pipe. Alikua kuku wa kienyejii.

Baada kutoka kuoga. Nikabidi nimuulize. Hapa unaishi na nani. Akajibu na wewe. Nikamwambia acha masihara mimi hapa ni mgeni. Pia
kwakweli pako vizuri sana na vitu ni vya thamani sana Kinyume na kazi yako. Akasema ni kweli, pale anaishi mwenyewe na hajawahi ingia mwanaume yeyote na kwakweli hadi muda huo hana mwanaume yoyote. Sasa nikamuuliza Mimi umenifahamu muda mfupi sana na umenileta kwako. Hunijui. Umeniamini vipi? Akasema alivutiwa na mimi naonekana mstaarabu. Nikamuuliza huo ustaarabu wangu unaupima vipi, maana wapo majambazi na wauaji lakini wanaonekana ni wastaarabu. Akajibu kwa hiyo wewe ni jambazi. Nikamjibu sijamaanisha hivyo. Akasema yeye ametokea tu kunipenda basi. Akauliza au wewe hunipendi? Kwa kweli lilikua swali gumu. Muda huo amenilalia mapajani huku anapapasa tumbo. Katako kake kako juu. Nilijikuta naitikia kwa kudanganya kuwa, nakupenda pia.
Kikapita kimya, akanishika boxer na kuichomoa pipe. Akaanza nyonya. Hakua fundi sana.

Ilikua pambano la kuvutia sana. Taratibu na pasi fupifupi. Sio lengo kuelezea sex life yetu, lakini ukweli kuwa sex ni ndoani kali sana kwa mwanaume. Na yawezekana ndio iliyoniweka zaidi kwa white. Hapa nilipewa kitu sijawahi kipata. Wakati nakaribia kumaliza, white
alikuwa akibana k kwa ndani na kuiachi, huku napiga pipe taratibu sana. Nilijikuta nimepiga shuti moja kali. Nilipata msisimko mkali
sana, nilihisi kizunguzungu na miguu kutetemeka. Sikunyanyuka. Alileta maji na taulo akaisafisha mashine. Akaenda washroom na kurudi.

Tulichapa usingizi kustuka mida ya saa 12 jioni. Nikamwambia kaniletee tshirt yangu. Akavaa suruali na kutoka. Kama robo saa akarudi. Akiwa na kimfuko. Kuangalia ni nguo, tshirt, pensi, boxer na vest. Nikamuuliza vya nini umenunua? Akasema ni vyako, maana ile haijakauka na hizo ni chafu. Kwa kweli niliishiwa pozi. Kwa ushawishi wake nikavaa. Tukatoka. Tukaenda tena kijijini park. Pombe mziki hadi saa 8 usiku. J3 ikaisha niko kwake. J4 nikasema huu ni ujinga, lazima niondoke.

J4 asubuhi, nikamwambia lazima niende home leo. Akaanza leta vishawishi nikawa mkali, akajua niko serious. Tukatombana asubuhi ile. Saa 5 nikatoka. Tukaachana akasema anaenda kazini. Moja ya kitu nilikua nina arosto ya kusmoke. Nikapitia maeneo nikapata. Nikaenda pale home, mazingira kucheck yako salama na safi. Nikafanya mawasiliano na wa moro, nikazima simu nikalala. Nikaamka mida ya saa 11. Kuwayasha simu message kibao za white. Nasifiwa, nimemissiwa. Sikua na mood ya kutoka siku hiyo. Kesho yake nikaenda. Kama week mbili mfululizo naendaga mara kadhaa nina lala. Nikajikuta nimeweka kambi kiana. Sbb hakua ananipa stress na sikuona kama ana wenge.

Nikaanza zoeana Na wakazi wengi wa pale na mwenye nyumba. Yule dingi alikua ni ana kicheo ccm huko, ila alikua anamdiss sana jk kuwa ni legelege. So tulikua tunaongea sana issue za siasa. Siku moja yule zigo akaniita. Akaniambia kuna bill ya maji na mchango wa umeme. Basi, nikasema acha nilipe tu. Nikampa 20, nikamwambia, hiyo chenji ef 3 utampa white akirudi.

Akasema sawa. Ajabu akasema, nipe namba yako ili nikiwa na shida za bill white hayupo, nakuambia wewe. Sababu nilikua naitaka namba yake ili nimpe Zizo, nikamwambia nitajie yako kisha nitakutext. Akasema hajaikalili. Nikaona isiwe kesi, nikampa. Night nimekuja. Tumekaa na white nikamwambia incident ya mchana. Aise nikaona amefura ghafla akatoka. Baada ya muda nikasikia anafoka pale nje, umemuua Baba james, unataka uniue na mimi...' hii kauli ilinistua. Basi baada ya muda, akarudi ndani. Kumuuliza vipi. Akasema yule mwanamke ameshaungua na ana usambaza makusudi.

Akasema, kuna mpangaji mwenzetu alitembea na huyu dada. Mwaka jana, akaugua sana.. Kuja gundua ameathirika na chanzo ni huyo Zigo. Sikutaka dadisi sana wala kutia neno. Akaendelea ndio maana shemeji zizzle alipomtaka, nilikua nachenga sbb naujua ni mgonjwa huyo dada. Akasema nashukuru umeniambia. Basi tukalala. Asubuhi yake nikamjulisha zizzle hiyo issue. Basi life likaendelea, akaniuliza issue zako za kazi vipi? Nikamwambia bado. Akasema kuna watu Unaweza fanya nao kazi nikuunganishe nao. Nikamuuliza watu gani? Akasema ni warundi.

Nikamuuliza ni kazi gani? Akasema ni ngumu ila inalipa sana, na kwa akili yako ninavyoiona basi utaweza. Nikamuuliza ni kazi ipi hyo.
Akasema nikitulia nitakuambia. Nikamjibu sawa. Kisha Nikamwambia na wewe unaifanya? Akasema hapana. Ni wanaume tu ndio wanafanya. Kichwani nikahisi labda ni drugs au ujambazi. Basi siku ikapita kesho yake akanipigia simu kuwa kichwa kinamuuma yuko home ametoka kazini. Basi nikajua ni issue ndogo. Kitu sikujua kuugua huku kungenifanya nimjue white, na nijifunze kuhusu usakaji utajiri na giza.
 
II: 'UFUNUO'.
Basi nikaenda kwa white, nilipofika nilimkuta sebuleni amelala.
Akasema kichwa kinamuuma nikamuuliza umekunywa dawa, jibu likawa bado.
Basi, nikatoka kuna kiphamarcy pale kitaa, nikamchukulia panadol
advance zile za kenya. nikamchukulia na grand malta mbili. Basi night
ile hali kidogo nzuri. Mawazo hayakua pale. Yeye akaomba game. Basi nikampa kimoja. Tukalala. Night mida ya sa 10 akaanza tena lakamika
kichwa. Nikampa tena panadol. Ikabidi nimfanyie sponging[kipindi ninakua nilijifunza hii, kipindi ilikua tunaugua homa kali sana, njia hii ya
kushusha homa kwa kuchukua taulo unaloeka kwa maji ya vuguvugu kidogo kisha unamfuta na kumkanda mgonjwa baadae unakiacha mwilini-kuna kitabu kinaitwa When there is no Doctor, kisome pia kina mafunzo mazuri sana ya kujipa huduma ya matibabu. Ni muhimu sana kuwa nacho hiki kitabu]. Basi nikatumia njia hiyo. Kidogo
ikasaidia akalala. Mimi sikulala hadi kunakucha. Basi tumeshinda hadi
mchana, Akaanza tena lalamika kichwa. Nikamwambia vaa twende
hospitali. Akasema hapana itakua malaria. Basi akasema nikamletee
malafin. Akanywa. Night ngoma 9 akaanza kutapika.

Alitapika sana hata kutembea hawezi. Ikabidi nimtengenezee glucose ya
kienyeji [maji ya sukari]. Nikampa panadol tena. Nikamwambia twende
nikupeleke hospital akakataa kabisa. Tulikesha hadi asubuhi.
Nikamforce twende hospital. Kwenda kupima malaria hana. UTI, typhod
vyote hana. Nikamwambia doc hebu mcheck na hiv, hana. [Hapa nlipata ahueni maana nilianza kuwaza labda kawaka, nami nilikula kavu toka siku ya kwanza]. Doc akasema
wakati mwingine malaria inakuwemo lakini haijionyeshi. Basi
akatuandikia mseto. Tukarudi home. Jioni yake Nikawa nawaza huyu
mwanamke akifa humu inakuwaje. Kwao hawanijui. Au nisepe, nikawaza sio
ubinadamu. Ikabidi nikae namuhudumia, kupika kumfulia msaada wa kuoga,
vyombo kuosha, usiku alikua anatapika sana, kumwaga matapishi. Kuna
sista mmoja rafiki yake mpangaji pale, akawa anakuja kumuona me
nikitoka. Siku ya tatu toka aanze dose, bado hali ikawa haieleweki.
Asubuhi hiyo akawa Anaongea na simu. Nasikia '..hali
bado...nitafanya..yupo..'. Nikapata maswali. Akaniambia ongea na Mama,
nilistuka. Nikasalimiana nae akaniambia, pole baba. Uguza pole.

Salamu na mama yake, ikaonekana alishatambulishwa na binti yake. Basi
siku ikaenda jioni tena nikapewa simu niongee na kaka yake. Unajua kwa
mwanaume ni rahisi kutambulishwa kwa mama, ila sio kaka na baba.
Sikuweza kataa nikaongea nae. Basi ikaonesha kuwa ananifahamu pia.
Nikajua kwa hiyo kawaambia kwao kuhusu mimi. Nikawa mpole. Ila
nikaanza waza kujikata kwa huyu mwanamke. Kinachofuata ni commitment
ambayo sikua nayo tayari. Kesho yake tumeamka hali yake sio nzuri.
Kwakweli, matibabu na kumuuguza kwa siku hizo kadhaa yalinila hela
sana. Basi ikabidi nimpeleke dispensary nyingine, lakini nilikuwa cost
conscious sana. Kufika pale cha kwanza sista akaniambia kamletee glucose
kwanza, nikaona huyu dokta kavu kweli. Hajui budget yangu inamatobo.
Nikatii. Nikamletea. Kucheck vipimo naambiwa ana typhod, nikaandikiwa
dawa. Dose yake kama 20. Dah, niliona utata. Basi, nikampeleka home
nikamuacha nafuata dawa. Nikampigia mtu kumuuliza cheapest na
effective medicine ya typhod. Akaniambia cypro.

Nikampelekea akaanza dose. Mimi nina mawazo sana, hela sina, huyu
manzi anavyoumwa havieleweki. Nimebaki na 30 tu mfukoni. Halafu kuna
kibiznes nilikua nafanya na mtu bado kama wiki mbili mbele ndio anipe
mgao wangu. Basi siku ikapita ile, inayofuata pia. Halafu
ilikua ni usiku, ndio anaumwa sana. Asubuhi nimeamka, hali kidogo
nzuri. Nikamuandalia msosi, akaoga akala. Nikasafisha vyombo na ndani.
Nikamwambia ninatoka. Basi hiyo nilikua nina waza sana. Nilihitaji
kusmoke, nikaona nikapige tu tungi. Nikaenda kigrocery nikaagiza Nyagi
nikaanza nao mdogo mdogo. Huwa napenda nywea grocery sbb ya uwezo wa
kusikiliza muziki naotaka. Pia ile grocery kuna wahudumu wawili
charming halafu visu sana. Wanafanya pombe ishuke vizuri. Mida ya saa
8, nikampigia white kuwa nataka nikachukue msosi tukale wote.
Akaniambia 'chukua chochote unachokula nami ntakula'. Kuna bar inaitwa
The Ndoto bar. Wana mbuzi katoliki. Nikachukua nusu kilo na ndizi za
kutosha. Wakati natoka, akanipigia sim, kuna vitu nataka unichukulie.

Akaniambia anahitaji ubani. Akanitajia aina tatu za ubani nimchukulie
nimpelekee. Sikumbuki aina zingine za ubani, ila ya tatu, ndio
sikuisahau hadi leo. Ubani mashtaka. Binafsi ubani nilikua na ufahamu.
Na Siku zote najua ubani ni ubani. Kumbe ziko za aina tofauti tofauti.
Huo ubani mashtaka, jina lake likanistua sana. Nikamjibu sawa. Basi
nikachukua mdudu. Nikakwea boda, nikaenda hadi sehemu aliyonielekeza
pa kununulia. Nikafika home, nikamkuta amelala. Nikamkabidhi mzigo
wake. Nikamwita Tule. Akasema weka tu chakula pembeni kwanza.

Akaniambia kaniombee moto kwa mama mwenye nyumba. Nilipoleta,
akaniambia fungua kabati toa nguo zote chini kuna nguo nyekundu na
nyeusi nipatie. Nikaviona nikampa. Akasema angalia nyuma ya kabati
chini kuna mkuki nipatie. Kweli nikaupata nikampa. Akavua nguo zote,
akajifunga zile nguo na moja akajifunika. Akachukua ubani huo akawa
ameweka, na kuongea maneno maneno ambayo siyakumbuki. Kama dakika
kumi, akajifunua na kuniambia virudishe hivi vitu kama vilivyokua. Na moto utoe.
 
III: 'NDUKI'.
Maisha yalisonga miezi takribani miwili. Maisha yalikua ya kawaida na
mapitio ya kawaida ya kimaisha, ambayo si ya muhimu sana kwenye story hii. Sasa jambo moja lilitokea usiku wa kuamkia mwaka mpya. Binafsi napenda kuhave fun, kwa namna yoyote. Mimi ni yule mtu naweza sikiliza na kucheza muziki vitani. Mimi na wadau tulipanga twende nje ya mji siku ya mwaka mpya. Jioni nikamwambia white ratiba hiyo. Akasema hawezi kwenda. Sababu nini? Nikaona mtu anaanza lia. Nikafanikiwa
mcalm na kutaka jua kisa nini. Akasema kila siku ya mwaka mpya pale
kwao kuna utaratibu huwa wanafanya kwa ajili ya marehemu kaka yake
mkubwa. Sasa nikamuuliza, kipi kinachokufanya ulie. Akasema wewe hujui tu, mimi kaka ananitesa sana. Sababu hajafa yuko hai na mara ka mara ananitokea. Basi nikambana anieleze.

Akaniambia kaka yake, kutokana na ugumu wa maisha. Aliamua kutafuta
ndagu. Sasa walipewa majini kwa masharti. Masharti aliyopewa ni Awe na mwanamke mmoja tu, na watakua wakizaa mtoto mmoja wanamtoa kafara, anayefuatia anaishi, na kati yao hatakiwi hata mara moja kufanya
mapenzi na mwingine. Na hela zao hawatakiwi atumie mtu yeyote tofauti
na wao na watoto wao tu. Jamaa alikubaliana na mwanamke wake.
Wakawekeana agano wao na jini hilo walilopewa. Jamaa alikengeuka
akachepuka, ndio ikapelekea kifo chake. Sasa kikawaida hajafa, ila
yuko maisha mengine pale nyumbani kwake kwenye chumba amefungiwa humo hadi siku Yake rasmi atapokufa. Na mara nyingi amekua akitokea pale
nyumbani akilia na kulalamika kuteseka sana. Mkewe ndie mwenye jukumu
la kuchunga asitoke. Sasa nikaumua, liwalo na liwe, huyu ni wa kumpiga chini. Hapa mwisho wake ni mbaya sana.

Tafakuri yangu iliniambia huyu na mwanamke na familia yao wote ni
tatizo. Hapa unaweza jikuta umenasa kwenye mambo yasiyo weza kutoka. I
never believed kwenye utajiri wa ushirikina. Nikaanza mkakati wa
kumpiga chini. Siku mbili baada ya yale yaliyojiri. Aliaga kuwa
anaenda kwao. Nikamwambia pia nina safiri kikazi. Kimsingi sikua
nasafiri, sikutaka tu kuendelea Kukaa pale. Alipoondoka, kesho yake
nikachukua nguo zangu zote. Night nikasepa nazo, bahati nzuri zilikua
chafu baadhi nikapata excuse. Nikamwambia kuna kazi nafanyia kijijini
sasa simu ni asubuhi na usiku. Lengo lilikua ni kukwepa kuwasiliana
nae na watu wa nyumbani kwao. Baada ya week alirudi, aliporudi
akanipigia kuhusu nguo, nikamwambia baadhi nimesafiri nazo na zingine
chafu nilimpa mtu anisaidie kufua pale nyumbani. Akamaindi lakini
nikammudu. Niliporudi nikaenda kulala kwake. Week moja ile ilikua
maisha ya kuchengana. Siku moja weekend amerudi mchana, amerudi akiwa in panic mode. Akaniambia kwa hasira lazima niende tena kigoma.

Tulizungumza na white, akaniambia kuwa anataka kwenda kigoma kutimiza alichoanza na kesho asubuhi anaanza safari. Nikamwambia sawa. Kweli asubuhi tukaenda stand. Akaniambia funguo ya chumba kama nikitoka, nimuachie yule rafiki yake. Akiwa safarini aliendelea kuniupdate safari yake. Usiku nilipark kila kilichokua changu na kumpa funguo niliyeelekezwa bila yeye kunotice. Alipofika kigoma alikuwa akipa mrejesho wa yanayojiri. Baada ya siku nne sikumpata hewani. Basi nikamtumia message kuwa nimehamishwa kikazi kwenda mtwara.

Kwa kweli sikuwa mtwara, ilikua ni mbinu tu ya yeye ajue sipo kule mjini. Ingawa baada ya week mbili nilihamia mkoa mwingine ambapo nilipata kazi huko. Na namba ya simu nikabadili. Nikawa napata taarifa zake kupitia Zizzle kuwa huwa ananiulizia. Alifanikiwa pia kwenda nyumbani kabisa (sijui alitumia mbinu gani kupajua), lakini sababu nilikuwa nimeshaambia kinachojiri, walimuambia kuwa nimeenda nje ya nchi masomoni. Ilipita miaka miwili nikapata taarifa zake kuwa kwa sasa white ni Tajiri sana. Alichofanya nini huko alipoenda hadi kufanikiwa kuwa tajiri, sijawahi fahamu. Ila kwa hakika kipo alichofanya. Hisia zangu huwa zinaniambia sana mtoto au mama yake hayupo tena. Kwa mama sina hakika sana, sababu yule mama naye alikuwa 'fit', na kwa mujibu wake ni kuwa huwa hatolewi mtu 'wa giza' pia.. Siku nikipata taarifa za kina nita update hapa.

ASANTE KWA KUSOMA.

Story hii ni 'hadithi' tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…