Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,416
- 3,553
Mimi naanza na Nemanja Vidic kwa nje na kwa hapa nyumbani namkubali sana Salum Swedi Kusi.
Endelea na wewe...
Endelea na wewe...
Duh ina maana hadi sasa hana hata timu anayochezea?Salim Mbonde.
Daah! Jamaa injury zilimmaliza
Hivi huyu si ndo alikuwa anasimamia miss Tanzania?aliingiaje hadi kwenye ile sektaLeodgar Chilla Tenga! Beki msomi kabisa kuwahi kutokea nchini.
Rais wa tff huyo wa zamaniHivi huyu si ndo alikuwa anasimamia miss Tanzania?aliingiaje hadi kwenye ile sekta
PuyolMimi naanza na Nemanja Vidic kwa nje na kwa hapa nyumbani namkubali sana Salum Swedi Kusi.
Endelea na wewe...