maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,297 15,584 Apr 9, 2017 #1 Wakuu naomba tutupie nyimbo kali za gospel zilizobamba sasa na zamani hapa bongo na east africa kwa ujumla. Hii itatusaidia kuzidownload pia na kutafuta album husika. Hii iwe special thread.
Wakuu naomba tutupie nyimbo kali za gospel zilizobamba sasa na zamani hapa bongo na east africa kwa ujumla. Hii itatusaidia kuzidownload pia na kutafuta album husika. Hii iwe special thread.
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,297 15,584 Apr 9, 2017 Thread starter #4 Sisi sote - Bonny Mwaitege Goodluck Gozbert - ipo siku Nyanshiki - Mungu pekee Saut Sol - Kuliko jana
Sisi sote - Bonny Mwaitege Goodluck Gozbert - ipo siku Nyanshiki - Mungu pekee Saut Sol - Kuliko jana
M MWANAWET Senior Member Jul 29, 2015 140 42 Apr 9, 2017 #6 Nyimbo za Agape gospel choir-mbeya Album tumtafute bwana! Ilikuwa nzuri mwanzoni mwa 1990.
Husna Muba JF-Expert Member Jan 28, 2017 14,524 44,577 Apr 11, 2017 #7 Vunja Ng'ang'ania Mimi ni mpitaji
dyuteromaikota JF-Expert Member Apr 30, 2013 5,929 8,325 Apr 11, 2017 #8 Mwema- mercy masika Fungua malango-cristors Nipe macho-shusho
Chakochangu JF-Expert Member Mar 21, 2011 2,668 2,164 Apr 11, 2017 #9 Ambassador of Christian Choir: 1)Siku za kilio zimepita 2)Nenda 3)Nimekupata Yesu 4)Ni vema
Chakochangu JF-Expert Member Mar 21, 2011 2,668 2,164 Apr 11, 2017 #10 Mtoni evangelical : Lulu Kwaya kuu ya Mt. Cecilia kutoka kanisa mt.Theresia Arusha (1) Mshipi, (2) Nakaza mwendo Yusto Onesmo: 1)Tabia uliyoanza. (2) Usilale. (3) Yesu ni muweza
Mtoni evangelical : Lulu Kwaya kuu ya Mt. Cecilia kutoka kanisa mt.Theresia Arusha (1) Mshipi, (2) Nakaza mwendo Yusto Onesmo: 1)Tabia uliyoanza. (2) Usilale. (3) Yesu ni muweza
Chakochangu JF-Expert Member Mar 21, 2011 2,668 2,164 Apr 11, 2017 #11 husna muba said: Vunja Ng'ang'ania Mimi ni mpitaji Click to expand... Kwaya gani? Au mwimbaji ni nani?
husna muba said: Vunja Ng'ang'ania Mimi ni mpitaji Click to expand... Kwaya gani? Au mwimbaji ni nani?
Husna Muba JF-Expert Member Jan 28, 2017 14,524 44,577 Apr 11, 2017 #13 Chakochangu said: Kwaya gani? Au mwimbaji ni nani? Click to expand... Ng'ang'ania aic shinyanga Vunja chang'ombe choir Mm ni mpitaji matha mwaipaja
Chakochangu said: Kwaya gani? Au mwimbaji ni nani? Click to expand... Ng'ang'ania aic shinyanga Vunja chang'ombe choir Mm ni mpitaji matha mwaipaja
Uta Uta JF-Expert Member Feb 2, 2016 3,740 8,750 Apr 11, 2017 #16 Mabibo choir.....sauti halafu kuna kitu Malebo
THK DJAYZZ JF-Expert Member Sep 14, 2011 2,166 175 Apr 11, 2017 #17 Checking...100% Searching...100% Downloading...100% Network connected ! Near by Ifisi Mbeya.
Alisina JF-Expert Member Aug 9, 2016 4,146 4,377 Apr 11, 2017 #19 Bishop Charles Jangalason-Aliteseka Yesu Miaka ya 2000/1 au 2002 huu wimbo. Vaa kiatu-Jangalason.
Alex Tanzania JF-Expert Member Jul 8, 2016 782 646 Apr 11, 2017 #20 Kama una nyimbo hizo kwenye pc au kwenye simu, vizuri utupie humu.......Nadhani itakuwa vizuri