Tupeni simulizi kidogo kuhusu hiki kitabu

THE BEEKEEPER

JF-Expert Member
Feb 23, 2024
1,448
7,053
FB_IMG_17409402629014605.jpg
 
Olabisii....😅😅😅... nilipenda pale olabisi anakimbizwa sijui na uncle wake ,ili akamatwe akakeketwe, sasa ikatokea huyo aliyekuwa anamkimbiza akateleza na kuanguka , hakumdaka huyu msichana.,, kitu kilichonifanya hii stori inichekeshe ni pale mwandishi anasema " he fell like he wanted to eat the earth "🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom