Tupeane connection ya viwanda vinavyo patikana Tanzania

The ice breaker

JF-Expert Member
Apr 20, 2023
683
1,532
Habari

Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania.

Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi kinapatikana na aina ya products inayo zalisha

Hii itasaidia Kwa wale wafanya biashara wanao taka kununua bidhaa direct Kwa mzalishaji tena Kwa bei ya chini, Ili akauze sehem nyingine. Maana Hawa madalali wanatupiga sana

Haya mimi nataka kujua wapi wanazalisha mafuta ya kupikia. N
 
Back
Top Bottom