Tupe tamko la mwendokasi unalolikumbuka kutoka kwa viongozi wa serikali

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,491
2,355
Wanajukwaa hebu tukumbushane matamko ya mwendokasi kutoka kwa viongozi wa serikali, tuandikie tamko unalolikumbuka ili tuhifadhi matamko haya maana ni sehemu nzuri ya kujifunza kwa viongozi wajao. Mwisho wa mjadala huu nitayakusanya pamoja na kuyaleta hapa jukwaani kwa kutengeneza uzi maalumu kwa ajili ya kuyahifadhi na tutakuwa tunayaupdate mara kwa mara kadiri wanavyoyatoa maana si vyema urithi huu ukapotea.

Naanza na hili:
1. Nyumba zote lazima zipigwe rangi-DC Kinondoni
 
Msako wa nyumba kwa nyumba wa wasio na kazi maalum!
Rc Dsm
 
Ma Dereva Watakaovunja sheria na kuendesha magari ya kawaida kwenye bara bara ya mradi wa magari ya mwendo kasi polisi kamata ng°oa matairi yao mukauze.
 
Hakuna kufanya mikusanyiko yoyote ya kisiasa mpaka 2020 alafu hata mwezi haujapita wao wanakusanyika...by Mkulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…