Nikiacha uhuni, nitafanya kazi ganiacha tamaa za paka, kuparamia majirani.
roho ikakutoka, vya watu kuvitamani.
mchana umeokoka, usiku hayawani.
kila mtu wamtaka, umtupe kitandani.
hebu punguza mizuka, na uache uhuni.
Dar ni mjini, ila kua makini.Nikiacha uhuni, nitafanya kazi gani
Dar sio msituni, vipi niishi kama Nyani
Tamaa ni utamaduni, ipo tangu zamani
Mi sio katuni, Acha nipate burudani
kaa kwa kutulia, uipate burudani.Seat ya pili nakaa karibu na dirishani
Chai nimekunywa sina shaka asilani
Tungo hizi nataka tuziendele mpaka jioni
Kama bundle ninalo kama lote ndegeJohn
Sabuni sio mpango, Bali ni mateso tupuDar ni mjini, ila kua makini.
usizipende bikini, zitakutia madeni.
asuhui upo na queen, usiku zaituni.
tuliza wako ukuni, utabaki na amani.
ila ukizid kutamani, ishi na sabuni.
Sio Tu Hadi jioni, Bali n kila sikuSeat ya pili nakaa karibu na dirishani
Chai nimekunywa sina shaka asilani
Tungo hizi nataka tuziendele mpaka jioni
Kama bundle ninalo kama lote ndegeJohn
Kutoa toa ruzuku, ushakuwa zumbukuku/Sabuni sio mpango, Bali ni mateso tupu
Utalichubua tango, ukimpenda kupiga puchu
Kuna mademu wa viwango, bei chee Hadi buku
Unapita kila mlango, mradi utoe ruzuku
We Kula miguu ya kuku, minofu ntakula MimiKutoa toa ruzuku, ushakuwa zumbukuku/
Kucharuka ruka huku, mnapoteza hizo buku/
Mikeka ya buku buku, kwisha kibubu kwa siku/
Tamaa mbaya kinaku, bora miguu ya kuku/