ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 65,819
- 75,142
Chadema watasema mama anachukiwa sana ameuza Mali za Tanganyika πππHii nyomi ni hatari
Nyomi ya Kufa Raia
Mimi nilikuepo hapo transfoma, Tunduma. Wanafunzi wa Sekondari zote za jirani wameletwa.Chadema watasema mama anachukiwa sana ameuza Mali za Tanganyika πππ
Haha wapumbavu sana hao ChademaChadema watasema mama anachukiwa sana ameuza Mali za Tanganyika πππ
Wanafunzi ni wapiga kura piaMimi nilikuepo hapo transfoma, Tunduma. Wanafunzi wa Sekondari zote za jirani wameletwa.
Hata hivyo Samia ametenda Haki Maendeleo ya Kanda hii kuanzia Kigoma hadi Iringa na Ruvuma huko.Haha wapumbavu sana hao Chadema
Nyanda za Juu Kusini imekua suprize kubwa sana kwa Nyumbu kuona Mikutano ya Rais imejaa na Ina marika yote
Vijana , watoto, wazee , akina mama nk
Katavi, Rukwa, Songwe hakuna Jimbo litaondoka CCM
Majimbo yote yatasalia CCM 2025-30
Yaan Mama kama anamsukuma mlevi hivi
Magari 250 kila gari lina watu 8 piga hesabu, huyu kaja na watu wake , changanya na wajumbe wa mashinaHii nyomi ni hatari
Nyomi ya Kufa Raia
Sawa kwani Kuna ubaya wakiletwa? Wewe uliletwa na nani?Mimi nilikuepo hapo transfoma, Tunduma. Wanafunzi wa Sekondari zote za jirani wameletwa.
Leta wewe hiyo hesabu tuione.Magari 250 kila gari lina watu 8 piga hesabu, huyu kaja na watu wake , changanya na wajumbe wa mashina
Akihutubia maelfu ya Wananchi waliofika kumpokea wakati akiwa njiani kupelekea Dodoma akitokea Rukwa,Rais wa JMT amewataka Wafanyabiashara Walipe Kodi na tozo wanazopaswa kulipa.
Rais Samia amesisitiza kwamba pesa ambazo Serikali inazikusanya ndio hizo zinazotumika kutekeleza miradi ya mabilioni kwenye maeneo Yao na kusema hizo hela Haziendi Kwenye Mifuko ya Viongozi.
Rais Samia amesema Serikali yake inaendelea kutatua Changamoto zinazowakabili wafanyabiashara hivyo wakati zinafanyiwa kazi watu Walipe Kodi Ili Serikali ilete maendeleo na ipunguze kukopa ambako wanatozwa riba na njia pekee ni Wananchi kulipa Kodi na tozo.ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C9j66fvtM8S/?igsh=aHJ4OGhud2R2MDVl
My Take
Hongera Rais Samia Kwa kusisitiza jambo la Kodi.
Hakuna mjomba wa kujenga Nchi hii,tudai uwajibikaji wa Serikali baada ya kulipa Kodi na si vinginevyo.ππ
View: https://www.instagram.com/p/C9j90nfqgA_/?igsh=YzdpdnNvNThvb3d2
Pia soma hapa Rais Samia: "Lipeni Vijitozo Serikali Ifanye Maendeleo Nchini"
Aidha soma Rais Samia asikitika kuona wafanyabiashara wakitumia mbinu kukwepa kulipa kodi
Ngoja nimuoneshe wapigakura wa mwakani kwenye shule hii ambayo Rais amewatembeleaWanafunzi ni wapiga kura pia
Endeleeni kudharau wapiga kura
Alafu angalia age hapo
Kwanzia 14-60 ndio ujue CCM ni chama Cha marika yote
Nini kimesababisha aonge haya Mh Rais? Au kale ka clip kajana?Hata hivyo Samia ametenda Haki Maendeleo ya Kanda hii kuanzia Kigoma hadi Iringa na Ruvuma huko.
Samia ahukumiwe Kwa mengine ila sio Kwa miradi ya Maendeleo,hakuna Rais amemwaga pesa nyingi kumzidi hayupo ππ
View: https://twitter.com/mwigulunchemba1/status/1813813043224064085?t=Y4jxQALnLrLTU69LvXA2fA&s=19
Mshukuruni Napeπ π πNgoja nimuoneshe wapigakura wa mwakani kwenye shule hii ambayo Rais amewatembelea View attachment 3045528
My Take: Hoa wako form 5&6 mwakani wanapiga kura Kwa Samia ππ
Andika uelewekeNini kimesababisha aonge haya Mh Rais? Au kale ka clip kajana?
Loosers poleniMshukuruni Napeπ π π
Hao ni viongozi ulitaka wapande Bajaj? π€£π€£View attachment 3045527
Haziendi kwenye mifuko ya viongozi. Namna hiyo?
Kisu kimegusa mfupaLeta wewe hiyo hesabu tuione.
Mbona nyie mnapanda helikopta 2 na magari Juu,hesabu yake ni ngapi?
Mwisho ulinzi wa Rais hauna hesabu Wala gharama so acha utoto.
Ccm ni chama cha kina Nape tu wengine ni wafata misafara ya mamba kama kengeWanafunzi ni wapiga kura pia
Endeleeni kudharau wapiga kura
Alafu angalia age hapo
Kwanzia 14-60 ndio ujue CCM ni chama Cha marika yote
Umempa za uso!Ccm ni chama cha kina Nape tu wengine ni wafata misafara ya mamba kama kenge