ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 65,819
- 75,112
Akihutubia maelfu ya Wananchi waliofika kumpokea wakati akiwa njiani kupelekea Dodoma akitokea Rukwa,Rais wa JMT amewataka Wafanyabiashara Walipe Kodi na tozo wanazopaswa kulipa.
Rais Samia amesisitiza kwamba pesa ambazo Serikali inazikusanya ndio hizo zinazotumika kutekeleza miradi ya mabilioni kwenye maeneo Yao na kusema hizo hela Haziendi Kwenye Mifuko ya Viongozi.
Rais Samia amesema Serikali yake inaendelea kutatua Changamoto zinazowakabili wafanyabiashara hivyo wakati zinafanyiwa kazi watu Walipe Kodi Ili Serikali ilete maendeleo na ipunguze kukopa ambako wanatozwa riba na njia pekee ni Wananchi kulipa Kodi na tozo.👇👇
My Take
Hongera Rais Samia Kwa kusisitiza jambo la Kodi.
Hakuna mjomba wa kujenga Nchi hii, tudai uwajibikaji wa Serikali baada ya kulipa Kodi na si vinginevyo.👇👇
Pia soma hapa Rais Samia: "Lipeni Vijitozo Serikali Ifanye Maendeleo Nchini"
Aidha soma Rais Samia asikitika kuona wafanyabiashara wakitumia mbinu kukwepa kulipa kodi