Tundu Lisu: Mzee Freeman Mbowe atakuwa Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema Kwa mujibu wa Katiba yetu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,878
169,866
Mh Tundu Lisu amesema Mzee Mbowe kuanzia tarehe 22 January 2025 Siku ya Jumatano atakuwa ni Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema

Hiyo ni Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kwa Wenyeviti wastaafu na atakuwa YEYE na Mzee Mtei

Star tv

Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
 
Kwa hiyo? Kwani kuna mtu alikuwa anabisha hilo?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…