Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,068
- 151,315
Nakushauri Tundu Liissu utaje mapema iwezekanyo hio orodha ya wanachama wa CHADEMA walionunuliwa pamoja na huyo kiongozi kuliko kusuburi waanze kuondoka na kuanza kukipkaa chama matope kama anavyofanya sasa Msigwa ndio muanze kuwajibu kwani itakuwa ni too late.
Kuna faida kubwa sana kuwaanika hadharani hivi sasa kuliko kusubiri wahama kisha waanze kukipaka chama matope. Waiteni kwenye Kamati Kuu muwahoji, wakishindwa kujitetea, basi muwaanike bila kuchelewa. Hata huyo Abduli mumuanike kwa kutaja jina lake kamili mbele ya waandishi wa habari.
Huu ni wakati sahihi wa kuandaa another list of shame kueleke uchaguzi mkuu wa 2025.