Black Butterfly
Senior Member
- Aug 31, 2022
- 127
- 361
Niseme tu ni uoga usiokuwa na maana kwa ukubwa wa jeshi la polisi la Tanzania istoshe ni uogo wa chama cha CCM hakuna anayeweza kuwapindua labda wageukane wenyewePETER MSIGWA KWA SASA NI CHANZO CHA KUAMINIKA NA VYOMBO VYA USALAMA
#WAMEMUA MZEE KIBAO KWA TAARIFA FEKI ZA PETER MSIGWA
Wiki iliyopita jeshi la Polisi lilitoa tarifa kwamba viongozi wa CDM wamekaa na kupanga kuchoma vituo vya Polisi nchi nzima kama njia ya kushinikiza kuachiliwa huru kwa Mwenyekiti wa BAVICHA Temeke, Deusdedith Soka na wenzake wawili ambao walitekwa na watu wasiojulikana. Polisi walisema taarifa hizo ni za UHAKIKA na zimetoka kwenye chanzo cha kuaminika.
Sasa unajua chanzo chenyewe ni kipi? Ni P.M . Hiki ndio chanzo chao cha "kuaminika" ambacho Polisi walikitumia. Iko hivi, Samia aliagiza Msigwa apewe attention na vyombo vya ulinzi kwani ana taarifa nyeti za ndani ya CDM kwa sababu alikua mjumbe wa kamati kuu.
Sasa wiki iliyopita Msigwa akaviambia vyombo vya usalama kwamba CDM wamepanga kulipua vituo vya polisi nchi nzima. Akasema viongozi wakuu wa CDM walikaa kikao kupitia Zoom na kukubaliana kuunda vikundi vya vijana kukamilisha mpango huo. CDM walikanusha taarifa hizo na kudai kama Polisi wana ushahidi wauweke hadharani. Polisi walishindwa kufanya hivyo.
P.M aliviambia vyombo vya usalama kuwa anayeratibu zoezi hilo la kuchoma vituo vya polisi ni Mzee Ali Mohamed Kibao. Kwa wasiomjua Mzee Kibao alikua mwanajeshi wa JWTZ. Ni strategist mzuri kwenye medani za vita na ameshiriki mission mbalimbali za kijeshi kama vile Lebanon, DRC, Comoro etc. Baada ya kustaafu jeshi alijiunga na CCM akawa Katibu wa CCM jiji la Tanga. Baadae aliondoka CCM na kujiunga na CDM ambapo alikua mjumbe wa sekretarieti na strategist wa chama.
Sasa P.M akatumia hicho kama kigezo cha kuaminisha TISS kwamba mzee Kibao alipewa jukumu la kuorganize vijana nchi nzima ili waanzishe vuguvugu kama la Gen-Z wa Kenya lengo likiwa kuchoma moto vituo vya polisi na kuleta machafuko. Kuanzia hapo ndipo mzee Kibao akaanza kufuatiliwa kabla ya kutekwa na kuuawa kikatili.
P.M amewataja watu wengine anaodai walikua wanashirikiana na mzee Kibao kwenye mpango wa CDM wa kuchoma moto vituo vya Polisi ambao ni Boniface Jacob, Martin Maranja Masese, Tito Magoti, Godbless Lema, Maria Sarungi, Fortunatus Buyobe, Godlisten Malisa, Peter Madeleka, John Pambalu, Onesmo Olengurumwa (huyu ni kwa sababu ya issue ya Ngorongoro), Ananilea Nkya, Bob Wangwe, Yericko Nyerere, Kumbusho Dawson. Hawa wote wapo kwenye targets za kutekwa waambieni wawe makini.
Ameandika Simion toka DC Washington
Alaaniwe Peter Msigwa yeye na uzao wake wote, alaaniwe atokapo alaaniwe aingiapo.PETER MSIGWA KWA SASA NI CHANZO CHA KUAMINIKA NA VYOMBO VYA USALAMA