Black Butterfly
Senior Member
- Aug 31, 2022
- 127
- 362
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa kuhusika na matukio hayo.
Akizungumza na JamboTV, Lissu amesema "Lini Jeshi la Polisi liliwahi kuchunguza chochote cha mambo haya? Kutwambia kwamba Vyombo vya Usalama Vichunguze, haviwezi vikajichunguza vywenyewe, vinahitaji kuchunguzwa, kusafishwa kuhakikisha hakuna majambazi waliovaa 'uniform' na wanaolipwa Mshahara wa umma"