Uchaguzi 2025 Tundu Lissu: Ushindi kupitia uchaguzi huru mwaka 2024 na 2025 ndiyo salama ya Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
24,193
28,124
Mbulu Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=uk9uB6KJSR0&pp=QAFIAQ%3D%3D

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara taifa kamanda Tundu Lissu ametoa angalizo kuwa uchaguzi wa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025...

Yale ya 2020 yakirudiwa tena 2025 nchi itakuwa katika hatihati kwani wananchi hawatakubali kupewa viongozi wa vijiji, madiwani na wabunge ambao hawajachaguliwa kupitia uchaguzi ulio wa haki na huru ...

Ushindi wa kupitia mezani kwa kuvuruga uchaguzi utawasha moto ambao utakuwa mgumu kuzima kwa kuwa...
 
Anajikuta nani hivi huyo nchenchemela, mfumo haujalala, utakaa na kuamka naye pamoja na genge lake ambalo linachunguzwa kwa muda mrefu
 
Kwani wewe unaemdharau una ukamilifu gani?

Lengine bila ya wizi na kuwatumia wajumbe na polciccm ni sehem gani ccm inayowezakujiamini kwa uchaguzi huru na haki?
 
Mbulu Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=uk9uB6KJSR0&pp=QAFIAQ%3D%3D

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara taifa kamanda Tundu Lissu ametoa angalizo kuwa uchaguzi wa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025...

Yale ya 2020 yakirudiwa tena 2025 nchi itakuwa katika hatihati kwani wananchi hawatakubali kupewa viongozi wa vijiji, madiwani na wabunge ambao hawajachaguliwa kupitia uchaguzi ulio wa haki na huru ...

Ushindi wa kupitia mezani kwa kuvuruga uchaguzi utawasha moto ambao utakuwa mgumu kuzima kwa kuwa...

Kimenuka
 
Muulize Ruto
Majimbo ya chadema yanajulikana, siasa ya kenya maji kupwa maji kujaa, haitabiriki kwa kuwa inaongozwa na ukabila, ukanda, Tanzania hakuna hiyo. Usione wanaandamana tu, big fish ambao wako nyuma yao are exremely poweful, Lissu hela ya gari tu anaomba, powerful dons zinamiliki mpaka helcopter, zina biashara ya kuuza gesi, wana maekari ya mashamba kwa malaki, and of course a fat bank account.

Hata design ya jeshi letu na lao ni tofauti, huku ukijaa wanakujaza
 
endelea kukariri
 
MBIO ZA FARASI WAWILI KUELEKEA 2024 / 2025 CCM YAJIPANGA KUVURAGA UPINZANI

CCM na njama za kuelekea 2024 na 2025, yahaha kutumia njia zote haramu kuingilia mchakato wa uchaguzi wa vyama

Farasi wawili katika mbio hizo ni CCM na CHADEMA. Chama dola kongwe imeshavivuruga vyama vingine vyote vya upinzani, farasi aliyebaki katika mbio za chaguzi za 2024 na 2025 tishio kwa CCM ni CHADEMA.

CCM inajitahidi kuingiza mamluki ili kuipunguzia kasi CHADEMA lakini hadi sasa chama dola kongwe kimeshindwa na kubakiwa na karata ya mwisho ya kujaribu kuvuruga uchaguzu wa 2024 na 2025 ili kuipiku CHADEMA.
 
Back
Top Bottom