Tundu Lissu uliyoyanena yanaendelea kutimia

Na bado, Dikteta atawanyosha wote. Hata mama Jesca aliwaonya CCM kisiri lakini wakampuuza, leo cha moto wanakiona.

Safi sana Ngosha, uzi huo huo mpaka wakuabudu, kukuombea wameshachoka.
Mama Jesca ni nani jamani?
 
Muda ulotumia kuandika hz blah blah Unge invest kweny kilmo ungekuta unavuna by now
 
Zanzibar kule naona ameshakubali kuwasha vibatari

Teh teh haya ngoja tuone
 
Mh.Lissu ulituonya kuwa leo hii ni wapinzani na baada ya hapo itakuwa ni zamu ya wengine maana hiyo ndio tabia ya madikteta na leo naona wakina fulani wameanza kugeukwa.

Na huu ni mwanzo tu.

Kweli muda ni mwalimu mzuri(muda ni kiboko yao).

Madikteta ndio wanaoleta maendeleo
 
Mahakamani Kisutu:
TL: Je, sheria inarusu mwananchi kuwa na hofu ya Mungu, shetani au dikteta?
Shahidi: NDIO
 
Heri ya huko IDODOMYA,lakini huku kwingine hakuhitaji maamuzi ya Chama bali YA MWENYE CHAMA,KAMA HUAMINI WAULIZE DOKITA SIJUI NANI HUYU YUKO CANADA NA HUYU MWANASIASA MDOGO MDOGO HALAFU MJANJA,HUYU YUPO KTK CHAMA CHA ACT watakuambia, walivurumushwa kama Mbwa mwizi hakuna kikao wala nini kumekucha tu mwenye Chama akasema siwataki na ikawa hivyo .Pia akasema FISADI PAPA NA AMBAE ALIKUWA KTK LIST OF SHAME,HUYU ANATOKEA KTK KABIRA LA WAMASAI JINA LAKE NIMESAHAU,MWENYE CHAMA AKASEMA AWE MGOMBEA WETU HAKUNA ALIYENYANYUA MDOMO KUBISHA WOTE WAKAWA KIMYA CHEZEA HATI MILIKI WEWE.
Hongeleni mnaotoa maamuzi ya kichama mnaonyesha jinsi gani mnavyostahili kuongoza nchi hii
 
Kweli ccm ni akina bashite tu ndio wamejaa!
Yaani mtu unafukuzwa uanachama kisa mmetofautiana mitazamo!
Na wameshikwa masikio hata wa kupinga hayo mabadiliko ya uchwara hayupo
Chama kinaundwa kwa malengo yake kama wewe hauna malengo hayo kwanini usifukuzwe si uende vyama vya vingine hilo sio swala la demokrasia. Kwa mfano kama kimeanzishwa chama cha wajane kwanini wewe usiye mjane ulazimishe kuwa mwanachama?
 
Ah Bashiteeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…