johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,035
- 164,304
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema lilitokea tatizo kidogo kwa michango inayopitia M-Pesa lakini tatizo hilo limeshatatuliwa hivyo michango inaendelea kupokelewa.
Hadi sasa zimeshapatikana tsh 16,263,624 na Mungu wa mbinguni awabariki Nyote, amesema Tundu Lissu ukurasani X
Barikiwa sana.