johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,909
- 166,130
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wako vizuri kuliko wakati mwingine wowote.
Lissu amesema hata alipokutana na Rais Samia kule Ubelgiji alimweleza wazi kuwa atarudije nyumbani ilhali Mwenyekiti wake yuko magereza, ndipo Rais akalifanyia kazi.
Lissu amesisitiza kuwa wanatarajia yeye na Mbowe wakosane basi watasubiri sana.
Source: ITV
Sabato njema!