Tundu Lissu, rejea jimboni ujionee unavoligeuza jangwa

AYmemba

Member
Oct 24, 2013
13
4
Mbunge Tundu Lissu nakukubali sana kwa mchango wako katika taifa ila kwa uelew wangu mimi naona ulivowaambia watu wa jambo lako wakate mkaa kwel hapo hujaamua vizuri.

Vjana wote wamekat miti kwa kujiamin kwamba eti hakuna mtu atakaewasumbua ina sasa wamemalza miti yote hakuna mapori tena.
 
wao wakiambiwa kitu wanafanya tu ? hata faida za miti hawazijui ?
 
Jimboni kwa Tundu LISSU yeye ndie Afisa misitu na afisa kila kitu.Haheshimu wataalamu wengine.Afisa misitu akisema msikate miti yeye anasema kateni chomeni mkaa.
Jimboni kwa Tundu LISSU yeye ndie Afisa misitu na afisa kila kitu.Haheshimu wataalamu wengine.Afisa misitu akisema msikate miti yeye anasema kateni chomeni mkaa.
kwa hiyo Tundu Lisu ana mamlaka kuliko DC,RC,waziri WA mazingira na waziri WA Mali asili! Kama ni hivyo basi hii serikali ni dhaifu sana,iachie ngazi hawezi kulinda misitu yetu.
 
Hivi kwani mbunge ndo serikali ya jimbo au? Someni sana civics kama hamjui majukumu ya mbunge
 
Hta kama kuna miti na inakatwa, ina maana singida tu ndio wanatumia mkaa tanzania nzima? wewe hutumii mkaa au ulitaka wale chakula kibichi? wangekata miti kutumia kuni ungeona sawa? Nchi nzima nishati ya kupikia ni mkaa hizi gas ni za watu wachache mijini. njoo la lingine kama una hoja ya Tundu Lisu.
 
Tundu Lissu ndiye mbunge wa kudumu hivyo hata ukifitinia vipi
 
Sizungumzii kujitoa. nazungumzia kazi za mbunge. Huko kujitoa ni moyo. Nyie ndio mnaowaaminisha watanzania kuwa wabunge ndo wanajenga barabara. Msikurupuke. Alafu matusi sipendi napenda sana hoja
mbunge ni chachu ya maendeleo bungeni kwake iwe kwa kujitoa au kushawishi wananchi na sio kusubir selikari ifanye kila kitu hasa kwa nchi zetu maskini
 
mbunge ni chachu ya maendeleo bungeni kwake iwe kwa kujitoa au kushawishi wananchi na sio kusubir selikari ifanye kila kitu hasa kwa nchi zetu maskini
Mbunge anaisimamia serikali ili kodi yako wewe itumike kukuletea maendeleo. Sasa unaposema chachu ya maendeleo wakati kodi unampa mwingine sikuelewi. Basi turahisishe kwamba. Kodi zote akusanye mbunge. Maana mnawapa wabunge mizigo isiyo yao
 
uelewa wako wewe ni sawa na yanga kumsajiri messi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…