johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,403
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amesema ni kweli walikataa kuchanganywa na Vyama vingine Vya Upinzani kwenye maridhiano na CCM kwa sababu vyama hivyo ni vibaraka
"Wale hawana shida gani na CCM? Sisi Ndio tuna shida na malalamiko lazima tukutane na Chama tawala tuzungumze", amesisitiza Lissu.
Lisu alikuwa akijibu baadhi ya Hoja za pacha wake kule CCM Komredi Kinana aliyezungumza na Waandishi wa Habari
Source: Mwananchi