The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 296
- 545
LISSU AMVAA MKUU WA MKOA WA SIMIYU KWA KUFANYA KAMPENI LAMADI
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amvaa vikali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwa kufanya kampeni, awataka wananchi wamkatae, "kama mtamzibia barabara kumwambia mkuu wa Mkoa hapa unakosea, huendi popote, kama mtamfuata na kwenda kumzomea juu yenu, msiogope"
Lissu ameyaongea hayo akiwa Lamadi mkoani Simiyu akielekea mkoani Mara kwenye ufunguzi wa kampeni wa uchaguzi wa Serikali za mitaa Novemba 21, 2024
Soma pia: Same: Polisi yazuia mkutano wa hadhara wa Tundu Lissu, yasema ni kufanya kampeni uchaguzi S/Mitaa kabla ya muda
Chanzo: Mwanzo TV plus