Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe hajaniinua Kisiasa, Mimi ndio nimemuinua yeye kwa kushinda kesi nyeti za uchaguzi za Dkt. Slaa, Mnyika, Bulaya nk

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
97,869
171,685
Tundu Lissu anasema siyo Kweli kwamba Mbowe ndio amemuonya kisiasa Kwa sababu 1995 wote Wawili waligombea Ubunge majimboni mwao Lisu akiwa NCCR Mageuzi na Mbowe akiwa Chadema

Lissu anasema YEYE ndio kamuinua Mbowe baada ya kujiunga Chadema na kumsaidia Kushinda KESI nyeti za uchaguzi katika Uongozi wake ikiwemo ya Tyson Wassira vs Bulaya kule Bunda

Endeleeni Kunywa mtori nyama mtazikuta chini 😂

Huu Mkutano mkuu wa CCM ni kufuru kama Mwamba alichangamkia Fursa ni halali yake 🐼
 
Back
Top Bottom