Tundu Lissu: Mahakama inapata maelezo kutoka kwa watawala; Tunaongeza mawakili kwenye kesi ya Lema

Wewe nawe ni mjinga wa mwaka mpya.
Matatizo yanayotusumbua kwa sasa kwenye uwanja wa sheria ni Gambo na Magufuli, watu wasiojielewa. Watu waovu.
Magufuli analopoka sana, kama huu uzi wako. Acheni ujinga. Watendeeni haki wananchi.
 
Umkaange adui kwa kuongeza mawakili zaidi wakati unatuambia sheria zimewekwa kando. Kama sheria zimewekwa kando, hao mawakili watasaidia nini hata kama wakiongezeka.
Utaona mbeleni. For the moment keep on watching if you can't see a smoke
 
huwa siwaelewi mnaomsikiliza huyo boya mwanasheria mropokaji asiyejielewa mchumia tumbo,huyo bwana hata kesho akiwekewa dau la kutosha mtamuona lumumba pale akibwabwaaja tena.
 
Sidhani kama kuna mtu anashangilia lakini kinachotia shaka ni matamko ya viongozi wa CHADEMA.
Tatizo wewe una imani katika vitu vya hovyo na umevipitisha kama ni kweli bila kuhoji.Sasa shaka yako ni lazima iwe sahihi au na maana?Hata wezi wanakuwa na mashaka akiona polisi maeneo ya karibu. Kwa akili hizi za CCM hamtokaa mjue dunia ipo wapi miaka hii. Wewe unadhani CCM hawana mengi ya kutia shaka?Kama hujayaona unadhani kwamba shaka yako itakuwa na maana.
 
Jaribu kusoma comments za watu wengi zimekaa kiitikadi, utu wa binadamu yeyote hasa adui yako ni lazima uheshimiwe.
ni ngumu sana kwa hawa wana ccm wanaokimbia tuu katika fikra zao kwamba rais kakashifiwa ,raisi katabiriwa kifo,bila hata kusoma na kuelewa kilichoelezwa na wengine.
 
Umkaange adui kwa kuongeza mawakili zaidi wakati unatuambia sheria zimewekwa kando. Kama sheria zimewekwa kando, hao mawakili watasaidia nini hata kama wakiongezeka.
Kama wewe upo ccm huwezi elewa,ila ungekuwa umekuwa kidogo ukamuuliza mwahili Ukawa walimtoa jasho kiasi gani? Na hata wa sasa alivyoingia kazuia kila kitu ili awe salama ila sasa karibu ataanza okota makopo.Figure haziendi,sanaa zimemalizwa ila bado game ipo palepale. Stay tuned,sikilia kelele zao vizuri utaona na kutambua ni za nini.
 
wamezoea kuhonga mahakimu sasa hapa kazi tu inawaogofya mahakimu wanafuata haki. ndio huyo charlie wao mjinga sheria imemkaba amekua mjelajela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…