Tundu Lissu Kuibukia Manyara. Ataongoza Maandamano ya Amani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,761
239,430
Taarifa za Uhakika kutoka CHADEMA , zimeeleza kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho , Tundu Lissu ataongoza Maandamano ya Amani Mkoani Manyara , baada ya kuahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko .

Katika kufanikisha jambo hilo Takatifu Lissu atasaidiwa na Mtu wa Mungu Godbless Lema pamoja na Mwakilishi wa Watanzania Dr Wilbrod Slaa .

Wote hawa watakinukisha kutokea Babati Mjini

Screenshot_2024-04-24-15-03-39-2.png
 
CHADEMA imepuuzwa kwa sasa.haina sera wala ajenda za kugusa maisha ya watanzania.kwa sasa watanzania wanaendelea kuwa na imani kubwa sana na Serikali ya Rais Samia kwa kuwa imekidhi matarajio yao na kukata kiu yao.
 
Futuhi 😁😁
 
Mwamba hachoki
 
CHADEMA imepuuzwa kwa sasa.haina sera wala ajenda za kugusa maisha ya watanzania.kwa sasa watanzania wanaendelea kuwa na imani kubwa sana na Serikali ya Rais Samia kwa kuwa imekidhi matarajio yao na kukata kiu yao.
Tumekuchoka wewe chawa katika nywele za uchafuni
 
CHADEMA imepuuzwa kwa sasa.haina sera wala ajenda za kugusa maisha ya watanzania.kwa sasa watanzania wanaendelea kuwa na imani kubwa sana na Serikali ya Rais Samia kwa kuwa imekidhi matarajio yao na kukata kiu yao.
Sema masisiemu acha kutuzungumzia watanzania Huna mamlaka hayo we endeleza uchawa unaweza kulamba teuzi ukalambe watu miguu
 
Back
Top Bottom