Tundu Lissu katika Misa ya Shukrani kijijini Mahambe Ikungi. Hakika Bwana wa Vita hajawahi kushindwa vita yoyote

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Dec 28, 2024
398
844
NGOJA TUONE HII VITA KATI YA MAJINI NA ROHO MTAKATIFU
--------------------------------------
Mtumishi wa Mungu Tundu Lissu katika Misa ya Shukrani kijijini Mahambe Ikungi hakika Bwana wa Vita hajawahi kushindwa vita yoyote kwa imani hata vita hii atatushindia.

View: https://www.youtube.com/live/nZHlJViFXM8?si=j15DzdwkbESXm_sTNinachojua Mungu wa Isaka na Yakobo ananguvu zaidi ya nguvu ya sisi wanadamu,



Kanisa moja takatifu la Mitume
 
Nimemsikia mzee mmoja akihojiwa anasema wananchi wa huko wanalalamika Mh huwa hana ushirikiano na watu wa kwao, hata kwenye misiba hashiriki!!
 
Mwenyezi-Mungu ambariki M'beba maono Tundu Lissu.
Simba Tundu Lissu
King of the jungle.
A real jungle master.
Njia ya Bwana imetengenezwa,tukutane nyikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…