Pre GE2025 Tundu Lissu: Kama ni kufa niko tayari kufa. Nishawahi kuchungulia huko nikarudi na sasa naendelea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
1,638
4,235
Wakuu

Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa.

Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana ameshawahi kuchungulia kifo na sasa hivi anaendelea na maisha

mgonjwa hastahili kufungwa bali kutibiwa,

lakini pia kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila mdomo wala makelele ya binadamu mwingine bali neema na baraka za Mungu :pedroP:
 
20250216_161519.jpg
Lissu kama anataka kufa afe au kama anajuwa anakaribia kufa basi afe pia. Ila kisingizio cha Katiba hapana, ajijipe ushijaa asiokuwa nao.

Lissu atapiga kelele, na siku yake ya kufa ikifika atakufa tu, LAKINI Tanzania itaendelea kuwapo na watu wake.

Kulikuwa na WAROPOKAJI kuliko Lissu kama Mtikila, Seif Sharriff Hamad, je wako wapi sasa
 
Back
Top Bottom