Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,870
- 5,045
Hii ndio mashine sasa, sio yule mlamba asaliMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reforms No Election amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura"
View attachment 3244547
Ndiyo mazuri, akili ziamkeHii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Dawa ya moto ni moto, huku ndio wanakokutaka wenyewe, Polisi na vyombo vya dola warudi kwenye majukumu yao ya halali, uchaguzi waachie vyama vya siasaHii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Hao wanaoua watanzania wasio na hatia hawaleti machafuko? ni haki yao kuua na upande wa pili unatakiwa ukubali kuuwawa kila siku?Hii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Na hiyo ndo hoja ya Lissu kuwa hatupaswi kwenda huko. Tufanye Reforms ili kuepusha watu kuwaza kushika bunduki ili washinde uchaguziHakuna haja ya kufikia huko Tanzania ni muhimu kuliko Vyama, tunachohitaji ni Reforms kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi na KATIBA BORA MPYA.