Tundu Lissu havai tena bullet proof vest, kulikoni?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
22,747
24,051
My friends, ladies and gentleman,

Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi havai tena bullet proof vest aliyoivaa kwa mbwembwe sana baada ya kudai kupigiwa simu na mtu aliemuita mzito na muhimu sana humu nchini, na kumshauri ati ajiongezee ulinzi ati usalama wake uko mashakani. Nae kwa kukurupuka akaanza kuvaa mbullet proof mweusi utadhani yupo doria huko ghaza.

Au aligundua kwamba wataalamu wa inteligensia ambao alidai ni marafiki zake waliompigia simu nyingi sana na kumuelekeza avae bullet proof vest, walimuhadaa na kumpotosha?
Au ilikua ni mbinu ya tu ku-renew exile visa ili iwe halali kwa mabwenyenye yanayomfadhili, ili aendelee kula maisha ya ughaibuni, yeye na familia yake.

Au alijitathimini na kujiona amekua kama askari wa doria, na kwamba iwe amevaa au hajavaa bullet proof vest wahalifu wakiamua, wanaweza kumfikia na kutimiza malengo yao maovu bila mbambamba yoyote?

Unadhani ni nini kimemfanya kibaraka kuacha kuvaa bullet proof vest?πŸ’

Mungu Ibarik Tanzania.

Pia soma
- Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?
 
Unaumia sana kwa vile hakuna Mungu anamlinda.
Gentleman,
urelax sasa na wala usiporomoshe matusi basi mbele ya wadau wa heshima wa JF, ikiwa hujaumia, huna point na kama kibaraka analindwa na Mungu πŸ’
 
Hilo swali la kuvaa au kutovaa bullet proof muulize yeye mwenyewe Lissu.
Lissu alishamiminiwa risasi huko nyuma na hadi leo hakuna mtu amekamatwa kuhojiwa.Nadhani sio swala la kukejeli.
 
Umeanzisha uzi chini ya kiwango. Unataka kufahamu jambo ambalo halina nyongeza ktk ufahamu wako.
Nitauliza tu swali; Una elimu kiasi gani? Na je, huwa unajisomea nini zaidi ya gazeti la michezo?
 
Wewe kijakazi yunus mbona unaweweseka sana?!
 
Hilo swali la kuvaa au kutovaa bullet proof muulize yeye mwenyewe Lissu.
Lissu alishamiminiwa risasi huko nyuma na hadi leo hakuna mtu amekamatwa kuhojiwa.Nadhani sio swala la kukejeli.
Gentleman,
kwanini avae bullet proof vest wakati wa kwenda kuchukua na kurudisha fomu tu pale chadema HQ?

inamaana pale HQ kuna kitisho cha usalama wake, yaani ni kama ghaza? right?πŸ’
 
Gentleman,
kwanini avae bullet proof vest wakati wa kwenda kuchukua na kurudisha fomu tu pale chadema HQ?

inamaana pale HQ kuna kitisho cha usalama wake, yaani ni kama ghaza? right?πŸ’
Mkuu wataalam wa usalama wanaweza kuwa na majibu sahihi.
 
Mkuu wataalam wa usalama wanaweza kuwa na majibu sahihi.
Inabidi uchuguzi ufanyike au tusubiri tena uchaguzi mwingine, ili ndiyo waanze kufafanua na kuvuana nguo kwanini alivaa bullet proof vest wakati wa kuchukua na kurudisha fomu tu?

HQ kuna hatari za kiusalama ama laa!πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…