Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 22,735
- 24,042
My friends, ladies and gentleman,
Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi havai tena bullet proof vest aliyoivaa kwa mbwembwe sana baada ya kudai kupigiwa simu na mtu aliemuita mzito na muhimu sana humu nchini, na kumshauri ati ajiongezee ulinzi ati usalama wake uko mashakani. Nae kwa kukurupuka akaanza kuvaa mbullet proof mweusi utadhani yupo doria huko ghaza.
Au aligundua kwamba wataalamu wa inteligensia ambao alidai ni marafiki zake waliompigia simu nyingi sana na kumuelekeza avae bullet proof vest, walimuhadaa na kumpotosha?
Au ilikua ni mbinu ya tu ku-renew exile visa ili iwe halali kwa mabwenyenye yanayomfadhili, ili aendelee kula maisha ya ughaibuni, yeye na familia yake.
Au alijitathimini na kujiona amekua kama askari wa doria, na kwamba iwe amevaa au hajavaa bullet proof vest wahalifu wakiamua, wanaweza kumfikia na kutimiza malengo yao maovu bila mbambamba yoyote?
Unadhani ni nini kimemfanya kibaraka kuacha kuvaa bullet proof vest?🐒
Mungu Ibarik Tanzania.
Pia soma
- Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?