Tundu Lissu hana msimamo kabisa yaani kwake bora akosoe chochote kile hata kisichokosoleka

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
2,160
3,338
Lissu hanaga msimamo kabisa yaani kwake bora akosoe chochote kile hata kisichokosoleka ilimradi amekosoa tu.

Huyu Lissu alituambia kuwa eti Samia alikwenda Kenya kumuona wakati jiwe hakutaka kabisa lakini Leo anamsifi jiwe na anamsiliba Rais Samia. Huyu Lissu mama amemtoa Ubelgiji lakini anamsifu Hayati Magufuli.

Mikutano ya siasa ilizuiwa na jiwe lakini Samia akaifungua lakini leo anamsifia Hayati Magufuli anamkandia Rais Samia.

Huyu Lissu alifikia mpaka hatua ya kumuita jiwe kuwa ni dictator uchwara hasa baada ya kuzima vyombo vya habari na kubaki vinamsifu yeye tu lakini Leo hii anamsifu Hayati na kumkandia Rais Samia.

Wanasiasa wa hivi muwaogope kama ukoma ndo maana ameshajiandaa kwa lolote likitokea akimbie nchi ambayo ana uraia na ameshawatorosha watoto wake.

Akili kumkichwa watanzania wenzangu.
 
Lissu ni mkweli na ana msimamo sana, tatizo lako hautafakari kwa Kina kauli zake na kumuelewa, kuna Mambo ya Magufuli mengi mema hakika, hayo hayaondoi kwamba alikuwa rais muonevu sana pia.
Hata mama ni mkweli na mwadilifu sana, tatizo lenu mna mihemko na chuki za kupitiliza so mnashindwa tu kumuelewa

Kuna mema mengi sana mama ameyafanya ambayo yalifinywa na magu na hakuwepo wa kutetea
 
Lissu hanaga msimamo kabisa yaani kwake bora akosoe chochote kile hata kisichokosoleka ilimradi amekosoa tu.

Huyu Lissu alituambia kuwa eti Samia alikwenda Kenya kumuona wakati jiwe hakutaka kabisa lakini Leo anamsifi jiwe na anamsiliba Rais Samia. Huyu Lissu mama amemtoa Ubelgiji lakini anamsifu Hayati Magufuli.

Mikutano ya siasa ilizuiwa na jiwe lakini Samia akaifungua lakini leo anamsifia Hayati Magufuli anamkandia Rais Samia.

Huyu Lissu alifikia mpaka hatua ya kumuita jiwe kuwa ni dictator uchwara hasa baada ya kuzima vyombo vya habari na kubaki vinamsifu yeye tu lakini Leo hii anamsifu Hayati na kumkandia Rais Samia.

Wanasiasa wa hivi muwaogope kama ukoma ndo maana ameshajiandaa kwa lolote likitokea akimbie nchi ambayo ana uraia na ameshawatorosha watoto wake.

Akili kumkichwa watanzania wenzangu.
huyo mbwa ni mchochezi ana roho ya kishetani, hajawahi kukaa kwa amani
 
Tundu Lissu ni radical activist...sio politician kabisa....
Hataweza hata kuelewa damage kiasi gani kawapa wenzake...
 
LISSU hana unafiki kisa umemsaidia jambo flan! Atakupiga spana tu hata kama ulimpa pesa ya mahari ili aoe!!
Basi asiwe analialia kutaka huruma mana atakayempa huruma itamtokea puani hapo baadae. Amekaa kichizi chizi hivi. Ila Sisi tunamsoma kwa kwamba nikimkuta njiani amekabwa na majambazi sithubutu kumsaidia mana baadae atasem nilijipendekezq
 
Nilichogundua una chuki dhidi ya LISSU nothing else!!
 
Lissu hanaga msimamo kabisa yaani kwake bora akosoe chochote kile hata kisichokosoleka ilimradi amekosoa tu.

Huyu Lissu alituambia kuwa eti Samia alikwenda Kenya kumuona wakati jiwe hakutaka kabisa lakini Leo anamsifi jiwe na anamsiliba Rais Samia. Huyu Lissu mama amemtoa Ubelgiji lakini anamsifu Hayati Magufuli.

Mikutano ya siasa ilizuiwa na jiwe lakini Samia akaifungua lakini leo anamsifia Hayati Magufuli anamkandia Rais Samia.

Huyu Lissu alifikia mpaka hatua ya kumuita jiwe kuwa ni dictator uchwara hasa baada ya kuzima vyombo vya habari na kubaki vinamsifu yeye tu lakini Leo hii anamsifu Hayati na kumkandia Rais Samia.

Wanasiasa wa hivi muwaogope kama ukoma ndo maana ameshajiandaa kwa lolote likitokea akimbie nchi ambayo ana uraia na ameshawatorosha watoto wake.

Akili kumkichwa watanzania wenzangu.
Unataka ucheke na Upuuxi kisa aliyeufanya amewahi kukufavour?
Ukweli usemwe bila kujali historia ya nyuma hakuna kulindana unapoharbu kazi.
 
Kiongozi anapokuwa madarakani anasifiwa na viongozi wa chama chake,anapoondoka madarakani waliokuwa wapinzani wake wanahamia kusifia mazuri yake aliokuwa anayafanya kipindi cha utawala wake.
 
Lissu hanaga msimamo kabisa yaani kwake bora akosoe chochote kile hata kisichokosoleka ilimradi amekosoa tu.

Huyu Lissu alituambia kuwa eti Samia alikwenda Kenya kumuona wakati jiwe hakutaka kabisa lakini Leo anamsifi jiwe na anamsiliba Rais Samia. Huyu Lissu mama amemtoa Ubelgiji lakini anamsifu Hayati Magufuli.

Mikutano ya siasa ilizuiwa na jiwe lakini Samia akaifungua lakini leo anamsifia Hayati Magufuli anamkandia Rais Samia.

Huyu Lissu alifikia mpaka hatua ya kumuita jiwe kuwa ni dictator uchwara hasa baada ya kuzima vyombo vya habari na kubaki vinamsifu yeye tu lakini Leo hii anamsifu Hayati na kumkandia Rais Samia.

Wanasiasa wa hivi muwaogope kama ukoma ndo maana ameshajiandaa kwa lolote likitokea akimbie nchi ambayo ana uraia na ameshawatorosha watoto wake.

Akili kumkichwa watanzania wenzangu.
Kiukweli jamaa hana shukran
 
Back
Top Bottom