Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,185
- 5,555
Mwanachama wa CHADEMA au Mtu mwingine yoyote anayeona ajabu, au anayechukizwa au kukwazwa na nia yangu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Chama chetu atakuwa ama hajui au amesahau au hataki kuenzi na kuendeleza urithi tulioachiwa na Wazee wetu Edwin Mtei na Bob Makani wa kuachiana madaraka ya uongozi ndani ya Chama kwa njia ya Uchaguzi huru na wa haki”
“Mtu wa aina hiyo anatakiwa kuelimishwa au kukumbushwa juu ya urithi wetu huu na kwa vyovyote vile asiruhusiwe kutuletea utamaduni tofauti katika kubadilishana madaraka na uongozi katika Chama chetu”.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - News Alert: - Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
- Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'