johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,970
- 169,996
Naelewa itifaki ya Makazi ya viongozi ilivyo ndio sababu nashindwa kuelewa utaratibu gani hutumika Kiongozi kumuachia Mtu Mwingine asiyestahili Kuishi nyumba ya Serikali Kwa Dhamana yake
Nyumba za Viongozi wa Serikali ni tofauti kabisa na upangaji wa nyumba za National Housing
Ni kweli Mbowe Ndiye alimpa Tundu Lisu nyumba au ni Bunge lenyewe ndio liliamua Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani aishi pale kwa sababu KUB ana Makazi binafsi ya kudumu ?
Nimekaa pale kuelimishwa 🐼