Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,210
- 4,767
Siasa ni kama biashara, huwezi kupeleka viatu kwa wamasai ukashindane na wanaouza ndala za mataili, itakuwa ni ujinga
Vile vile huwezi kupeleka sembe mahali ambako watu wanamahindi yao na huyatumia kula dona, itakuwa wendawazimu wa kiabiashara
Wananchi wengi wanamkubali Makonda, maana ndiyo bidhaa inayohitajika kwa watu nchini
Watu walimwelewa Makonda na wanamwelewa Makonda
Ushauri mwingine anaopewa Mh Rais ni yeye aanguke kirahisi
Kipindi cha Makonda akiwa mwenezi wa CCM, pia mh. Lissu alikuwepo na alikuwa akifanya mikutano kama kawaida
Niambieni, ni jina la nani lilitawala kwenye vyombo vya habari? Ni nani aliyekuwa akifuatiliwa kuliko mwingine? Nani aliweza kuzima mijadara kumhusu Makonda
CCM kama mnataka kubalansi mambo ya kisiasa kwa sasa, itawalazimu kumrudisha Makonda kwenye uwenezi hata kama kuna wachache hammupendi
Siyo kweli kila wakati itahitaji kujibu hoja za LISSU isipokuwa hoja zake zijtaifia tu pindi akiwepo mtu mwenye upepo wa kisiasa
Kinachoendelea hapo CCM ni bule kabisa, licha ya kukosa mvuto lakini hawawezi propaganda za kisiasa!