Hilo jembe! mahojiano kwani hawakurecord alichosema? njia nzuri wasikilize recorded wajue alisemaje! kama alikosea wajue wanamfanyaje!!! hiyo ni intimidation kwa mtu!
Safi sana lissu hiyo hamna kosa hapoWakubwa habari za asubuhi. Haya kumekucha na mapolisi wa Magufuli tena. Nimepigiwa simu na Zonal Crimes Officer DSM kuitwa kwenye mahojiano juu ya kauli yangu ya jana Kisutu. Nitaenda saa tano asubuhi hii. Karibuni kwa mara nyingine tena for a roller coaster ride.
Tundu Lissu.
Baada ya kuhojiwa,akitoka ataongea tena kama jana!Watamuhoji halafu polisi wataongea na waandishi wa habari na kuutangazia umma kuwa uchunguzi unaendelea na tukikuta anakosa tutampeleka mahakamani.
hiyo kumtukana Rais ndio kiwango cha juu?Lissu ni mwanasiasa wa viwango vya juu sana kwa ubora na umakini maana hata JK alishatanabahisha hilo kuwa ni heri jk angeukosa urais kuliko Lissu kuwa mbunge.
Ndo Sugu alisema kwa mizuka?Huu ndio mwendokasi wa kukurupuka.
Wanaendesha mambo hovyo hovyo.
Atutaki aitwe tunataka afungwe ujinga tuemechoka na wanasiasa waropokaji mwisho msataWakubwa habari za asubuhi. Haya kumekucha na mapolisi wa Magufuli tena. Nimepigiwa simu na Zonal Crimes Officer DSM kuitwa kwenye mahojiano juu ya kauli yangu ya jana Kisutu. Nitaenda saa tano asubuhi hii. Karibuni kwa mara nyingine tena for a roller coaster ride.
Tundu Lissu.
Kwa
hiyo kumtukana Rais ndio kiwango cha juu?
Lakini sio kwa mropokaji Lissu