Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 255
- 1,182
Leo Aprili 10, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mwanasheria Tundu Lissu amehojiwa kwenye na Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa makosa mawili ya Uhaini na kutoa taarifa za Uongo. Pia Lissu hajatoa maelezo yoyote isipokuwa taarifa zake binafsi pekee.
Polisi wamesema watampandisha mahakamani punde wakikamilisha taratibu zinazotakiwa
Pia soma: Pre GE2025 - John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini
Pia soma ~ Adhabu ya uhaini Tanzania siyo lazima kifo