Tunauza mikanda ya gypsum na vifaa vya kutengenezea mikanda ya gypsum yani (mold)

Hisham Pokoho

Member
Jun 25, 2014
60
45
Habari wajasiriamali tunawakaribisha ofisini kwetu kujipatia huduma zetu pia tunatuma mzigo popote ulipo kwa nchi za Africa mashariki tunakuhumia.

Pata huduma zetu mikanda ya Gypsum kwa bei ya 1500 kwa pisi, pata maua na Engle za Gypsum kwa bei mzuri pia Pata vifaa vya kutengenezea mikanda ya Gypsum kwa wale wanaotaka kujiari kwa pisi moja ya mold ya mkanda bei 250,000 na mold za maua ya kati bei maelewano kulingana na size.

Tupo mbagala chamazi na kitonga Dar es salaam. Simu +255653020784 pia itapatikana whatsap.
20220923_143949.jpg
20221013_181024.jpg
20230813_132433.jpg
20230323_163138.jpg
FB_IMG_1694961485818.jpg
FB_IMG_1694961469644.jpg
 
Habari wajasiriamali tunawakaribisha ofisini kwetu kujipatia huduma zetu pia tunatuma mzigo popote ulipo kwa nchi za Africa mashariki tunakuhumia.Pata huduma zetu mikanda ya Gypsum kwa bei ya 1500 kwa pisi,pata maua na Engle za Gypsum kwa bei mzuri pia Pata vifaa vya kutengenezea mikanda ya Gypsum kwa wale wanaotaka kujiari kwa pisi moja ya mold ya mkanda bei 250,000 na mold za maua ya kati bei maelewano kulingana na size. Tupo mbagala chamazi na kitonga Dar es salaam. Simu +255653020784 pia itapatikana whatsap. View attachment 2764160View attachment 2764164View attachment 2764165View attachment 2764166View attachment 2764177View attachment 2764178
Duh kazi zenu nzuri sana
 
Habari wajasiriamali tunawakaribisha ofisini kwetu kujipatia huduma zetu pia tunatuma mzigo popote ulipo kwa nchi za Africa mashariki tunakuhumia.

Pata huduma zetu mikanda ya Gypsum kwa bei ya 1500 kwa pisi, pata maua na Engle za Gypsum kwa bei mzuri pia Pata vifaa vya kutengenezea mikanda ya Gypsum kwa wale wanaotaka kujiari kwa pisi moja ya mold ya mkanda bei 250,000 na mold za maua ya kati bei maelewano kulingana na size.

Tupo mbagala chamazi na kitonga Dar es salaam. Simu +255653020784 pia itapatikana whatsap.
View attachment 2764160View attachment 2764164View attachment 2764165View attachment 2764166View attachment 2764177View attachment 2764178

Pisi ya mkanda ni 1500tsh??
 
Kama umekwama na unahitaji kujikwamua kiuchumi popote ulipo Tanzania na nje ya Tanzania anzisha hii biashara ya utengenezaji wa mikanda ya Gypsum na maua.Hii biashara ilianzishwa na wa china hapa kwetu miaka 17 iliopita,kwa sasa hii biashara inaendeshwa na wabongo.Kwa mazingira ya ukiwa na m 2 unaweza kuanzisha vizuri sana na pesa utaiona.
VITU VINAVYOHITAJIKA KWENYE HUU MRADI
1.Eneo lakufanyia kazi
2.vifaa yani mashine (mold)
3.Malighafi
IMG-20231027-WA0036.jpg
 
View attachment 2904500
Kama hili Bei Gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom