Tunauza mashine ya kutengeneza chakula cha mifugo

Mnazi kuyumba

New Member
Jun 7, 2013
4
37
Tunauza mashine ya kutengeneza chakula cha mifugo cha chenga chenga (pellet mashine). mifugo kama (Kuku/samaki&sungura)

✓Inatuma umeme wa majumbani.
✓Inauwezo wa kuzalisha kilo 150 Kwa lisaa
✓Hp 200,400 size kyp
✓Unaweza kutumia Kwa matumizi yako binafsi na biashara

Faida za kumlisha kuku chakula cha punje punje.

✓kuku hupata lishe zote zilizochanganywa katika umbo Moja
✓Huzua upotevu wa chakula,chakula hakimwagiki hovyo
✓Kuku hushiba vizuri kwani anauwezo wa kuokota punje zote .
✓Hupunguza gharama za ulishaji
✓Kuku wako hukua haraka kwani hupata virutubisho vyote.

Bei 1,500,000/= Tsh

MAWASILIANO
0762212623

TUNA MAWAKALA MIKOANI KOTE
 
Maneno matupu hayavunji Mfupa,Weka picha tuone hiyo Mashine.
 
Nilijua mashine ya kutengeneza bambucha...tangazo bila picture sawa na kurusha niwe gizani weka photos tuone
 
Uzi wa pili huu! Unauza mashine, picha huweki! Sasa utawashawishi vipi wateja wako kwa kuwauzia kitu kisicho onekana?
 
Back
Top Bottom