INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,004
- 19,520
Ndugu habari zenu.
tumeamua kuwasaidia watanzania hasa kwa wale wafanyabiashara wakubwa, wadogo pamoja na wajasiriamali. Kumekuwa na malamiko mengi sana kwa Watanzania kuhusu makadirio ya kodi, usajili wa Majina ya biashara (Business names) na Kampuni.
Sisi tunatoa huduma zifuatazo
1. Kusajili majina ya biashara (Business names) pamoja na Kampuni (BRELA).
2. Tunatengeneza Logo za biashara pamoja na makampuni.
3. Tunasaidia katika huduma za kodi kama kusajili TIN pamoja na kufanya makadirio ya Kodi kwa watu binafsi na Makampuni.
4. Tunafanya/kutuma Ritani za kodi kama VAT, PAYE, SDL nk.
5. Tunaandaa hesabu, Taarifa za fedha (Financial statements) kwa watu binafsi na Makampuni.
6. Leseni za biashara.