Tunatengeneza na kuuza Vifungashio.

Kaboya Kenneth

JF-Expert Member
Aug 4, 2009
286
278
Vifungashio tulivyonavyo kwa sasa ni Jerry can za lita 1, 3 na lita 5. Tunapatikana Dar, Kimara stopover 0754335844. Tunapatika
 
Mkuu plastic jerry can za ujazo 10-20l unazo? Ila rangi ya njano
 
Mimi niwapongeze katika harakati zenu wakuu...Tanzania ya viwanda inawahitaji nyie
 
Mkuu nataka nianze kuzalisha peanut butter mnaweza kunibunia vivungashio vinavyoendana!?
 
Hujaweza bei
Hujaweka minimum chupa ngapi
Delivery IPO au LA
Nk

Kweli tz biashara za kutangaza mtandaoni bado kabisa
 
Nahitaji kwa wingi kwa bei ya jumla siyo reja reja ili na mm nikafanye biashara,je mnaanzia pc ngapi ili niweze kuchukua kwa jumla jumla na bei yake ikoje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…