Mabango ya acrylic 3D yawakayo
Ni mabango yenye herufi zilizoumuka zionekanazo pande 3(3D) na zenye mfumo wa umeme.
Huundwa toka kwenye material ya akriliki ambapo ni aina ya plastic inayoonekana kama kioo lakini nyepesi na laini itumikayo kama mbadala salama wa kioo.
Kulingana nakua na herufi zenye
mfumo wa umeme hivyo tunakuunganishia kwenye mfumo wako wa taa ili pindi uwashapo taa na bango
nalo linawaka.
Ukiwa na bango la 3D:
1.Ni kama duka lako limepata sauti ya ukaribisho ifikayo mbali, bila hata wewe kutumia nguvu kutamka ujumbe wa ukaribisho.
2.Ni kama duka lako linakua star wa mtaa ambapo kila mteja angependa afanye manunuzi dukani kwako kulingana na mvuto wa nje ulowekeza mbele ya duka lako.
3.Inajenga Imani kwa mteja hata kabla hajaingia ndani ya duka lako kua sehemu anayoingia ni sahihi na inaweza tatua mahitaji yake.
4.Ni ulinzi wa biashara yako dhidi ya washindani ambao wangekunyakulia wateja.
Bei ya bango la 3D hua kwa mita moja, Mita moja(100cm) ya bango la 3D Tsh 450,000
Alucobond panels installation
Pia tunafunga panels za alucobonds kwenye kuta kuboresha muonekano wa mbele katika biashara yako au katika jengo.
Kwa kimombo tungeweza sema: Alucobond panels are like a super stylish and durable skin that can elevate any building, transforming a simple structure into a striking landmark
Bei hutegemeana na idadi ya panels zitazotumika kwenye ukuta hivyo vipimo huhitajika kupata bei.
Contacts & Business Address
📍Tupo Dar, Ubungo-Mawasiliano
☎️ Whatsapp/call 0743147859