DOKEZO  Tunataka kufanya kosa gani, eneo la Bondeni-Tank Bovu (Dar) kupitisha njia ya mwendokasi kwenye daraja la kawaida, Serikali iwaze upya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Nyakijooga

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
255
457
Wanajukwaa nimeona nilite jambo hapa jukwaani nikiamini kuna macho ya Serikali yanaweza kuwepo yakaliona wakalichukua kwa maslahi zaidi na kulifanyia kazi au wakawa nao na mtazamo tofauti wenye tija zaidi wakaubanisha tukajua na kuondoa wasiwasi juu ya uwajibikaji wao.

Nimekuwa nikipita kwenye njia ya Bagamoyo Road kutokea Mwenge kuelekea Tegeta, siku zote nikipita eneo la Bondeni, kuna daraja ambalo lipo katika ya kituo cha daladala cha Bondeni na Tank Bovu maarufu kwa Komba, uwa naiona hatari kutokana na mto ule kuongezeka hasa mvua kubwa zikinyesha jambo mbalo uwa naona kabisa linaendelea kuiweka barabara hiyo katika hatari ya kukatika.

Lakini nimeendelea kushaanga na kuamua kuandika hapa jukwaani baada ya kuona mchakato wa ujenzi wa mwendokasi umeanza na kwenye kipande hicho kuna kila dalili ikapitishwa barabara ya mwendokasi kama zilivyo barabara za kawaida zinazutumika kwa sasa.
IMG_20240627_165405_237.jpg
Kwa akili kawaida nawaza hivi Serikali inafikiria nini, kuruhusu kitu kama hicho bila kuona mbele zaidi?, kuliko kufanya jambo ilimradi twende bora kuingia gharama kufanya jambo la kudumu ambalo linaweza kuepusha madhara hata gharama zaidi huko mbeleni.

Nashauri katika eneo hilo tubadili mtazamo badala ya kupitisha barabara kwenye daraja la kawaida ambalo uimara wake unaweza kuwa mdogo ni vyema katika kipande hicho tukajenga barabara ya juu inayounganishwa na nguzo zenye uimara, kuliko kuendelea na daraja ambalo wakati wowote linaweza kutuletea majanga.

Tukumbuke matumizi ya barabara hiyo kwa sasa ni tofauti na kipindi cha mwaka 2010 kurudi nyuma, tutambue kwamba barabara hiyo kwa matumizi yake yameongezeka na yatazidi kuongezeka zaidi, ikiwemo kutumiwa na magari yenye uzito mkubwa.

Tusije kufanya makosa ambayo tumekuwa tukiyafanya kwenye baadhi ya mambo, kwa sababu ya kuepuka gharama leo kumbe tunaiweka kesho yetu kwenye majanga ambayo tukiamua tunaweza kuiepuka kwa mamlaka kuwajibika ipasavyo.

Natoa wito kwa Serikali kupitia Waziri Innocent Bashungwa anayesimamia Wizara ya Ujenzi kwa sasa ajilizishe kwanza na usanifu uliofanyika kwenye kipande hicho kabla ya ujenzi zaidi kuendelea, natarajia kuna kitu ataweza kubaini.

Pia soma ~ TANROADS: Tutaufanyia kazi ushauri kuhusu eneo la Mbezi Bondeni- Bagamoyo Road (Dar) kuwekwa 'Fly over'
IMG_20240627_165401_320.jpg
IMG_20240627_165416_300.jpg
IMG_20240627_165420_701.jpg
 
Hizi ndio hoja zinazohitaji watu makini kuzijadili. Kwa bahati mbaya wabongo wanapenda kujadili ujinga kama ule wa mkuu wa wilaya ubungo kushitakiwa na malaya, Diamond kavaa midabwada huko Paris nk.
 
Huenda wasomi walishapiga mahesabu ya kutosha. Nilifikiria ile nguzo ya kati kati ya daraja ingezuia njia ya mwendo kasi kumbe wasome walishapiga mahesabu ya kutosha.
 
Hizi ndio hoja zinazohitaji watu makini kuzijadili. Kwa bahati mbaya wabongo wanapenda kujadili ujinga kama ule wa mkuu wa wilaya ubungo kushitakiwa na malaya, Diamond kavaa midabwada huko Paris nk.
Kila mtu ni mtaalam ktk eneo lake kwahiyo unataka watu waje kutema pumba Kisha uwadhihaki?
 
Wanajukwaa nimeona nilite jambo hapa jukwaani nikiamini kuna macho ya Serikali yanaweza kuwepo yakaliona wakalichukua kwa maslahi zaidi na kulifanyia kazi au wakawa nao na mtazamo tofauti wenye tija zaidi wakaubanisha tukajua na kuondoa wasiwasi juu ya uwajibikaji wao.

Nimekuwa nikipita kwenye njia ya Bagamoyo Road kutokea Mwenge kuelekea Tegeta, siku zote nikipita eneo la Bondeni, kuna daraja ambalo lipo katika ya kituo cha daladala cha Bondeni na Tank Bovu maarufu kwa Komba, uwa naiona hatari kutokana na mto ule kuongezeka hasa mvua kubwa zikinyesha jambo mbalo uwa naona kabisa linaendelea kuiweka barabara hiyo katika hatari ya kukatika.

Lakini nimeendelea kushaanga na kuamua kuandika hapa jukwaani baada ya kuona mchakato wa ujenzi wa mwendokasi umeanza na kwenye kipande hicho kuna kila dalili ikapitishwa barabara ya mwendokasi kama zilivyo barabara za kawaida zinazutumika kwa sasa.
View attachment 3027564
Kwa akili kawaida nawaza hivi Serikali inafikiria nini, kuruhusu kitu kama hicho bila kuona mbele zaidi?, kuliko kufanya jambo ilimradi twende bora kuingia gharama kufanya jambo la kudumu ambalo linaweza kuepusha madhara hata gharama zaidi huko mbeleni.

Nashauri katika eneo hilo tubadili mtazamo badala ya kupitisha barabara kwenye daraja la kawaida ambalo uimara wake unaweza kuwa mdogo ni vyema katika kipande hicho tukajenga barabara ya juu inayounganishwa na nguzo zenye uimara, kuliko kuendelea na daraja ambalo wakati wowote linaweza kutuletea majanga.

Tukumbuke matumizi ya barabara hiyo kwa sasa ni tofauti na kipindi cha mwaka 2010 kurudi nyuma, tutambue kwamba barabara hiyo kwa matumizi yake yameongezeka na yatazidi kuongezeka zaidi, ikiwemo kutumiwa na magari yenye uzito mkubwa.

Tusije kufanya makosa ambayo tumekuwa tukiyafanya kwenye baadhi ya mambo, kwa sababu ya kuepuka gharama leo kumbe tunaiweka kesho yetu kwenye majanga ambayo tukiamua tunaweza kuiepuka kwa mamlaka kuwajibika ipasavyo.

Natoa wito kwa Serikali kupitia Waziri Innocent Bashungwa anayesimamia Wizara ya Ujenzi kwa sasa ajilizishe kwanza na usanifu uliofanyika kwenye kipande hicho kabla ya ujenzi zaidi kuendelea, natarajia kuna kitu ataweza kubaini.

View attachment 3027565View attachment 3027566View attachment 3027567
Hii nayo ni fursa iliyoibuliwa na wananchi wazalendo, itatulazimu kwenda kukopa kwani bado tunakopesheka, asante mungu akurehemu.
 
Sasa hutaki wakubwa wakasomeshe watoto wao ulaya ? Hiyo barabara ni ya miaka 10 tu baada ya hapo tunabomoa kujenga mpya
 
Badala ya kujenga daraja la juu kama ulivopendekeza, ungeshauri kuujengea huo mto Ili usiendelee kuongezekeka,
Tatizo hapo sio daraja ni mto kutanuka
 
Naamini wataalam wamejadili kwa kina na kutemfeneza mchoro sahihi kwa solution endelevu ya eneo husika....
 
Back
Top Bottom