P Prof Decentman JF-Expert Member Jul 14, 2013 276 140 Feb 3, 2017 #1 Wandugu, habari??? Kwa yeyote mwenye kiwanja maeneo ya Buyuni ulipo mradi wa PSPF au jirani anijulishe. Aseme ukubwa wa eneo lake na bei. Karibuni PM au email humble2080@yahoo.com
Wandugu, habari??? Kwa yeyote mwenye kiwanja maeneo ya Buyuni ulipo mradi wa PSPF au jirani anijulishe. Aseme ukubwa wa eneo lake na bei. Karibuni PM au email humble2080@yahoo.com
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,411 18,734 Feb 19, 2017 #3 Rafiki fika pale buyuni katika maeneo hayo, mimi nimesikia kimoja block 6, 15m
B buruhani2 Member Nov 29, 2016 82 10 Feb 19, 2017 #5 .0789282792 0712459985 mpigie huyu muhusika inshallah utapata eneo