Kwa hiiyo Mzee Mbowe ni kijana kwa akili zako ?Kama Mbowe ni Mzee basi Samia ni Bibi maana Samia ni mkubwa kuliko Mbowe. Na wanasiasa wengi wa ccm ni vibabu
nadhani kuna uwezekano mkubwa nae, baada ya kutangaza kutogombea uenyekiti kanda ya kaskazini,Ni kawaida kabisa Bwana Lema huwa anakurupukaga na kutoa maoni yake hata kama ni ya ovyo haswa pale Kaka yake Mbowe anapoguswa kwa aina yoyote ile.
Lema ni chawa namba moja wa Mzee Mbowe ila inashangaza hadi muda huu hatujaona taarifa yake kuhusu nafasi ya kudumu ya kaka yake ambayo Msomi Lissu nae amethibitisha pasipokuwa na shaka kuwa anaitaka.
Hamzidi bibi kizimKwa hiiyo Mzee Mbowe ni kijana kwa akili zako ?
It is high time kukiondoa chama mikononi mwa ukabilaNi kawaida kabisa Bwana Lema huwa anakurupukaga na kutoa maoni yake hata kama ni ya ovyo haswa pale Kaka yake Mbowe anapoguswa kwa aina yoyote ile.
Lema ni chawa namba moja wa Mzee Mbowe ila inashangaza hadi muda huu hatujaona taarifa yake kuhusu nafasi ya kudumu ya kaka yake ambayo Msomi Lissu nae amethibitisha pasipokuwa na shaka kuwa anaitaka.
Mbowe na Samia ni age mate tu haoKama Mbowe ni Mzee basi Samia ni Bibi maana Samia ni mkubwa kuliko Mbowe. Na wanasiasa wengi wa ccm ni vibabu
Ingia acvount ya Lema kule X, ameshatoa tamko kuwa ni haki ya yeyote kugombea.Ni kawaida kabisa Bwana Lema huwa anakurupukaga na kutoa maoni yake hata kama ni ya ovyo haswa pale Kaka yake Mbowe anapoguswa kwa aina yoyote ile.
Lema ni chawa namba moja wa Mzee Mbowe ila inashangaza hadi muda huu hatujaona taarifa yake kuhusu nafasi ya kudumu ya kaka yake ambayo Msomi Lissu nae amethibitisha pasipokuwa na shaka kuwa anaitaka.
Hakuna nafasi nyingine tenaIt is high time kukiondoa chama mikononi mwa ukabila
Heche asikubali kabisa uhusiano wa karibu na machawa watiifu wa mzee MboweCombination ya lissu na heche itakua ni motto sana kila la heri kwao
Lissu amezungumza mambo gani tunaomba link nasi tumsikie ndipo tuchangie hojaNi kawaida kabisa Bwana Lema huwa anakurupukaga na kutoa maoni yake hata kama ni ya ovyo haswa pale Kaka yake Mbowe anapoguswa kwa aina yoyote ile.