Ni kawaida kabisa Bwana Lema huwa anakurupukaga na kutoa maoni yake hata kama ni ya ovyo haswa pale Kaka yake Mbowe anapoguswa kwa aina yoyote ile.
Lema ni chawa namba moja wa Mzee Mbowe ila inashangaza hadi muda huu hatujaona taarifa yake kuhusu nafasi ya kudumu ya kaka yake ambayo Msomi Lissu nae amethibitisha pasipokuwa na shaka kuwa anaitaka.