Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,065
- 2,378
Ukuta wa Yeriko unajiangukia wenyewe kwa vishindo vya wakoma.Vilio vilisikika Babeli ikiangushwa
Simba anachukua kombe shirikisho msimu huuVilio vilisikika Babeli ikiangushwa
Shida ya kununua mechi hii hadi kocha wenu anaona ligi nyepesiNliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa mbinde kila match kwao ngumu. Hapo wanajifunza mbinu mbalimbali.
Sisi kuna matches tukicheza tunajiamulia tuwapige ngapi wapinzani. Wanafungika kichovu sana na tunadhani tupo imara. Kumbe si kweli. Tunajidanganya wenyewe na akina Chama wazee, akina Dube Mchafukoge na Mzize hapati kash kash za ukweli.
Tunapokuja Kimataifa kwenye matches za ukweli. Acha zile za yule kocha wa Al Hilal fala ameamua kutugawia sisi na AS Vita furaha. Match ambayo tulicheza na AS Vita kiukweli ilikuwa ile ya Congo. Ile tulicheza kuwapasua kweli kweli
Leo Kocha wetu anaongea kimafumbo. Kuwa hatuna ligi ngumu. Why? Anajua kuwa ligi yetu ni ya kimagumashi.
View attachment 3206227
HaitatokeaSimba anachukua kombe shirikisho msimu huu

Insha-AllahSimba anachukua kombe shirikisho msimu huu
Dunduka katika ubora wako.Nliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa mbinde kila match kwao ngumu. Hapo wanajifunza mbinu mbalimbali.
Sisi kuna matches tukicheza tunajiamulia tuwapige ngapi wapinzani. Wanafungika kichovu sana na tunadhani tupo imara. Kumbe si kweli. Tunajidanganya wenyewe na akina Chama wazee, akina Dube Mchafukoge na Mzize hapati kash kash za ukweli.
Tunapokuja Kimataifa kwenye matches za ukweli. Acha zile za yule kocha wa Al Hilal fala ameamua kutugawia sisi na AS Vita furaha. Match ambayo tulicheza na AS Vita kiukweli ilikuwa ile ya Congo. Ile tulicheza kuwapasua kweli kweli
Leo Kocha wetu anaongea kimafumbo. Kuwa hatuna ligi ngumu. Why? Anajua kuwa ligi yetu ni ya kimagumashi.
View attachment 3206227
Mwakamakundi fc aka makundu-chi fcDunduka katika ubora wako.
Mwa Kunduchi FC weweDunduka katika ubora wako.
NAKAZIANliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa mbinde kila match kwao ngumu. Hapo wanajifunza mbinu mbalimbali.