P Pastor steven mdoe Senior Member Jan 13, 2016 113 34 Apr 8, 2016 #1 Chumba seble na choo kuna fance na geti bei yake kodi kwa mwezi mmoja ni sh 150,000 na kiasi hiki unaweza kulipia kuanzia miezi 3,6 au mwaka pia Maelezo mengine na ukitaka kuiona piga 0715060183/0756060183
Chumba seble na choo kuna fance na geti bei yake kodi kwa mwezi mmoja ni sh 150,000 na kiasi hiki unaweza kulipia kuanzia miezi 3,6 au mwaka pia Maelezo mengine na ukitaka kuiona piga 0715060183/0756060183
Meqtotie Member Oct 2, 2015 33 29 Apr 8, 2016 #2 Mkuu unaweza kuweka na picha tuone mazingira yakoje.
P Pastor steven mdoe Senior Member Jan 13, 2016 113 34 Apr 8, 2016 Thread starter #3 Ngoja nitafanya hivyo
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,727 Apr 8, 2016 #4 Baharini chumba kwa laki na nusu? Hilo litakuwa banda la kuku...
Gefu JF-Expert Member Nov 30, 2010 6,930 2,565 Apr 8, 2016 #5 ...nina mashaka na hii biashara,ni ruksa kusita....
P Pastor steven mdoe Senior Member Jan 13, 2016 113 34 Apr 8, 2016 Thread starter #6 Gefu said: ...nina mashaka na hii biashara,ni ruksa kusita.... Click to expand... Usiwe na mashaka ila nakushauri uje uone kwanza
Gefu said: ...nina mashaka na hii biashara,ni ruksa kusita.... Click to expand... Usiwe na mashaka ila nakushauri uje uone kwanza
P Pastor steven mdoe Senior Member Jan 13, 2016 113 34 Apr 8, 2016 Thread starter #7 Usedcountrynewpipo said: Baharini chumba kwa laki na nusu? Hilo litakuwa banda la kuku... Click to expand... Usiogope mkuu kama unaweza njoo uone
Usedcountrynewpipo said: Baharini chumba kwa laki na nusu? Hilo litakuwa banda la kuku... Click to expand... Usiogope mkuu kama unaweza njoo uone