Tunaosubiria application za NACTE, tukutane hapa

Binman

Member
Jul 17, 2016
68
30
Habari wana JF..
Wale wote wanaosubiri application za NACTE tukutane hapa.... Ili kupeana info mbalimbali....
 
Zozote zile,, ili mradi tu mtu awe anasubir dirisha la nacte
 
Tayar zimesha fanyika labda kama watatoa awamu ya pill ilipo maliza ilikuwa march/apr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…